Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Wakipandishwa kizimbani bao 100,rais atachagua wengine 100,namna hiyo,kama tulivyokuwa tunasema wakati wa Magufuli,kwamba Rais Samia ataliondoa kabisa tatizo la ajira la White Collar Workers.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka wewe ndiyo ulikuwa mtoto,kwasababu ata Rais Magufuli alishawahi kuwaagiza Katibu Mkuu TAMISEMI Engineer Mtigumwe na Jafo kuwa wakaondoe ilo genge la kuuza nafasi za U-DED wizarani.Nadhan ulikuwa mtt
Usitegemee makubwa sana kutoka kwa wana uvccm. Hawana jema haoBila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.
Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.
Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni kwenye Halmashauri na kwamba Wakurugenzi zaidi ya 100 wamefunguliwa majalada.
Rais Samia akasema pia Madiwani Ndio Chanzo cha hasara ya tsh 88 bilioni ambazo zingetosha kujenga Zahanati kibao.
Ikumbukwe kuwa Madiwani wote ni wa CCM na Wakurugenzi ni Makada wa CCM na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM na mkuu wa mkoa kadhalika.
Katika eneo la Teuzi Shujaa alifeli pakubwa kuwapa uDED Makada wa CCM.
Jumaa kareem!
Tangu nasoma comment zako leo umekuja na hoja nyenye mashiko sana hongera wenda Mzee Mgaya umeona anakupoteza sasa umeamua simama na taifa ,mzee Mgaya kuanzia leo kwenye vikao vyake usienda ,wenda ni dalali wa kupoteza vijana shupavu wa taifa hili,barikiwaBila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.