Kama ni kweli Ma - DED zaidi ya 100 watapandishwa kizimbani na TAKUKURU kwa Ufisadi basi mfumo wa MagufulI kuteua Makada wa CCM Umefeli

Kama ni kweli Ma - DED zaidi ya 100 watapandishwa kizimbani na TAKUKURU kwa Ufisadi basi mfumo wa MagufulI kuteua Makada wa CCM Umefeli

Wakipandishwa kizimbani bao 100,rais atachagua wengine 100,namna hiyo,kama tulivyokuwa tunasema wakati wa Magufuli,kwamba Rais Samia ataliondoa kabisa tatizo la ajira la White Collar Workers.
 
Nadhan ulikuwa mtt
Bila shaka wewe ndiyo ulikuwa mtoto,kwasababu ata Rais Magufuli alishawahi kuwaagiza Katibu Mkuu TAMISEMI Engineer Mtigumwe na Jafo kuwa wakaondoe ilo genge la kuuza nafasi za U-DED wizarani.
Siyo hiyo wakina January wenyewe walikuwa madalali wa kukusanya pesa za kuwaunganisha watu na Rais JK,ukitaka kumuona Rais JK,toa pesa umuone kwa haraka.
Tulia Mjomba tunajua mengi ila tumetulia tunapitia comment zenu za kiwaki.
 
Wataishia kulindanana tu hamna la maana litalofanyika. Hii ndio CCM.
 
Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.

Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.

Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni kwenye Halmashauri na kwamba Wakurugenzi zaidi ya 100 wamefunguliwa majalada.

Rais Samia akasema pia Madiwani Ndio Chanzo cha hasara ya tsh 88 bilioni ambazo zingetosha kujenga Zahanati kibao.

Ikumbukwe kuwa Madiwani wote ni wa CCM na Wakurugenzi ni Makada wa CCM na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM na mkuu wa mkoa kadhalika.

Katika eneo la Teuzi Shujaa alifeli pakubwa kuwapa uDED Makada wa CCM.

Jumaa kareem!
Usitegemee makubwa sana kutoka kwa wana uvccm. Hawana jema hao
 
Hapo ndipo mwendazake alipofeli sana. Kuwapitisha wenyeviti wa mitaa CCM,madiwani CCM,wakurugenzi CCM,maDED CCM,wabunge wote CCM. Mawaziri wote CCM. Hakuna hata wa Chama kingine kumpigia kelele mwingine.

Nina imani huo uwizi uliowekwa wazi ni robo tu ya wizi wote Tz kwa ujumla. Hapo bado mawaziri waliokwapua mmoja mmoja kulingana na nafasi yake hawajawekwa wazi. Kama akina wizara ya shilingi. Wizara ya mwanga n.k
 
Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.

Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.

Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni kwenye Halmashauri na kwamba Wakurugenzi zaidi ya 100 wamefunguliwa majalada.

Rais Samia akasema pia Madiwani Ndio Chanzo cha hasara ya tsh 88 bilioni ambazo zingetosha kujenga Zahanati kibao.

Ikumbukwe kuwa Madiwani wote ni wa CCM na Wakurugenzi ni Makada wa CCM na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM na mkuu wa mkoa kadhalika.

Katika eneo la Teuzi Shujaa alifeli pakubwa kuwapa uDED Makada wa CCM.

Jumaa kareem!
Tangu nasoma comment zako leo umekuja na hoja nyenye mashiko sana hongera wenda Mzee Mgaya umeona anakupoteza sasa umeamua simama na taifa ,mzee Mgaya kuanzia leo kwenye vikao vyake usienda ,wenda ni dalali wa kupoteza vijana shupavu wa taifa hili,barikiwa
 
Back
Top Bottom