Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uwongo,Makada wa CCM wanateuliwa tangu enzi za JK,Tena kwa JK ndiyo ilikuwa balaa,Kuna watu TAMISEMI walikuwa wanapiga Hela za rushwa za watu wanaotaka Ukurugenzi wa Wilaya,ukihitaji U-DED unanunua kwa pesa yako.Jiwe ndiyo alikuja kuwaondoa hao Wahuni.Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.
Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.
Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni kwenye Halmashauri na kwamba Wakurugenzi zaidi ya 100 wamefunguliwa majalada.
Rais Samia akasema pia Madiwani Ndio Chanzo cha hasara ya tsh 88 bilioni ambazo zingetosha kujenga Zahanati kibao.
Ikumbukwe kuwa Madiwani wote ni wa CCM na Wakurugenzi ni Makada wa CCM na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM na mkuu wa mkoa kadhalika.
Katika eneo la Teuzi Shujaa alifeli pakubwa kuwapa uDED Makada wa CCM.
Jumaa kareem!
Je hiyo hali ilibadilika?Miaka yote kabla ya jiwe ilikuwa DED anateuliwa kutoka miongoni mwa watumishi wa serikali wenye uzoefu wa muda mrefu. Jiwe akaleta ukadda, ukanda na ukabila kwenye uteuzi wa maDED.
Jiwe!!! Bora afe tena huko aliko.
HayaAcha uwongo,Makada wa CCM wanateuliwa tangu enzi za JK,Tena kwa JK ndiyo ilikuwa balaa,Kuna watu TAMISEMI walikuwa wanapiga Hela za rushwa za watu wanaotaka Ukurugenzi wa Wilaya,ukihitaji U-DED unanunua kwa pesa yako.Jiwe ndiyo alikuja kuwaondoa hao Wahuni.
Namaanisha mkuu wa idara ya fedha (mtunza hazina) lazima awe CPA similar kwa internal audit head lazima awe CPA na certified internal auditorHiyo ya wakuu wa Idara wote kuwa wahasibu hapana.
Utaratibu wa kuteua MADED kutoka kwq watumishi wenye uzoefu ulikuwq bora sana maana hata ghiriba na hila za madiwqni walizijua yeye akauondoa bora amekufa chizi yuleMiaka yote kabla ya jiwe ilikuwa DED anateuliwa kutoka miongoni mwa watumishi wa serikali wenye uzoefu wa muda mrefu. Jiwe akaleta ukadda, ukanda na ukabila kwenye uteuzi wa maDED.
Jiwe!!! Bora afe tena huko aliko.
Tujikite kuangalia wapi tunapoelekea na sio wapi tulipotokea.
Magufuli alikuwa binadam kama wewe na mimi. Alipochagua hao makada kuongoza hizo sehemu, hakutegemea kama hayo madudu yangetokea. Waswahili wanasema "moyo wa mtu msitu" na pia "siri ya mtungi ijuae kata".
Ila sasa utawala wa Magufuli umeshapita, sasa tupo katika utawala mungine. Tuangalie njia bora ya kuepuka upigwaji mungine, badala ya kupoteza muda kumjadili mtu ambae alishafariki. Haina maana yoyote mkuu.
Unajua inaanza kuandaliwa mwezi wa ngapi??Hiyo ripoti si ya 2021/2022 kipenzi cha watanzania alishatangulia
Hao maafisa mipango si ndiyo wezi wenyewe uko Halmashauri!Ni kweli Dkt Magufuli alidhani ma kada wana uchungu na nchi basi watalinda rasilimali na kuwa wakali kwa sababu wanatekeleza ilani, ila ikawa kinyume chake, wizi, fitina, uongo, na kujitafutia umaarufu vikatawala. Rais Samia namshauri sana tena asikie, mkeka mpya ujae ma afisa mipango maana hao ndiyo wanajua maana halisi ya kutekeleza ilani ya uchaguzi, wanajua miradi na usimamizi wake, etc.
Ukicheleweshewa posho unakuwaga na akili snBila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.
Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.
Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni kwenye Halmashauri na kwamba Wakurugenzi zaidi ya 100 wamefunguliwa majalada.
Rais Samia akasema pia Madiwani Ndio Chanzo cha hasara ya tsh 88 bilioni ambazo zingetosha kujenga Zahanati kibao.
Ikumbukwe kuwa Madiwani wote ni wa CCM na Wakurugenzi ni Makada wa CCM na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM na mkuu wa mkoa kadhalika.
Katika eneo la Teuzi Shujaa alifeli pakubwa kuwapa uDED Makada wa CCM.
Jumaa kareem!
Sisi ndiyo wajinga haiwezekani mtu anavunja katiba sisi tunamwangaliaMagu alikuwa mjinga Sana!
Hapana hao siyo wezi, wizi kwa sehemu kubwa upo orchestrated na wakurugenzi kwa kuchepusha matumizi ingawa sehemu kubwa wanaochangia mawaziri yaani unakuta Waziri anatembelea mfano Geita anajua kuna madini anataka hela au anaenda Simanjiro anajua kuna tanzanite anataka apewe hela, hilo nalo Mh Rais alijue, hata hao waliopata hati safi wengi ni rushwa wanawaandalia wakaguzi wanawake malaya na kuwalipia hotel etc, yaani wengi ambao hawakutoa ndiyo hati chafu, kwa ufupi kuna mambo mengi sana Mh Rais akiamua kufuatiliaHao maafisa mipango si ndiyo wezi wenyewe uko Halmashauri!
Wale wanaofanya over invoicing hawajui vizuri Utumishi wa Umma?Hao ni CHAWA wanajifariji.
Ni miaka 2 sasa na tumempongeza mama. Tumuombe atimue makada wote. Ateue senior Officers wanaoujua vizuri Utumishi wa umma.
Kwa mujibu wa katiba, watumishi wa uma na vyombo vya ulinzi na usalama, hawatakiwi kuonesha uhusiano wa wazi, ushabiki au upendeleo kwa chama chochote cha siasa.Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.
Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.
Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni kwenye Halmashauri na kwamba Wakurugenzi zaidi ya 100 wamefunguliwa majalada.
Rais Samia akasema pia Madiwani Ndio Chanzo cha hasara ya tsh 88 bilioni ambazo zingetosha kujenga Zahanati kibao.
Ikumbukwe kuwa Madiwani wote ni wa CCM na Wakurugenzi ni Makada wa CCM na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM na mkuu wa mkoa kadhalika.
Katika eneo la Teuzi Shujaa alifeli pakubwa kuwapa uDED Makada wa CCM.
Jumaa kareem!
Namaanisha mkuu wa idara ya fedha (mtunza hazina) lazima awe CPA similar kwa internal audit head lazima awe CPA na certified internal auditor
Mimi nadhani kuwa Kada siyo tatizo tatizo ni kukosa maadili na kutokuheshimu Mali za Umma,jambo lingine jamii imekumbwa na mmomonyoko wa maadili kwa vile tuliamua kuwaweka kando viongozi wa kimila ambao kwa nyati zile waliheshimika katika jamii kwa kusimamia miiko mira na dastuli lakini kwa sasa tumepoteza mwelekeo ndiyo matokeo ya kuona haya ya viongozi kutokuheshimu nyazifa wanazo pewa.Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.
Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.
Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni kwenye Halmashauri na kwamba Wakurugenzi zaidi ya 100 wamefunguliwa majalada.
Rais Samia akasema pia Madiwani Ndio Chanzo cha hasara ya tsh 88 bilioni ambazo zingetosha kujenga Zahanati kibao.
Ikumbukwe kuwa Madiwani wote ni wa CCM na Wakurugenzi ni Makada wa CCM na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM na mkuu wa mkoa kadhalika.
Katika eneo la Teuzi Shujaa alifeli pakubwa kuwapa uDED Makada wa CCM.
Jumaa kareem!
Mkuu ungeandaa uzi kabisa ili hoja yako ikae vizuri maana unaongea mambo mazito ambayo sidhani kama Mama anayajua.Hapana hao siyo wezi, wizi kwa sehemu kubwa upo orchestrated na wakurugenzi kwa kuchepusha matumizi ingawa sehemu kubwa wanaochangia mawaziri yaani unakuta Waziri anatembelea mfano Geita anajua kuna madini anataka hela au anaenda Simanjiro anajua kuna tanzanite anataka apewe hela, hilo nalo Mh Rais alijue, hata hao waliopata hati safi wengi ni rushwa wanawaandalia wakaguzi wanawake malaya na kuwalipia hotel etc, yaani wengi ambao hawakutoa ndiyo hati chafu, kwa ufupi kuna mambo mengi sana Mh Rais akiamua kufuatilia