KAMA NI KWELI MUSA NDO MWANDISHI WA VITABU VITANO VYA BIBLIA KUNA SEHEMU KUNAYUMBA

Ahsante kama umeelewa kupitia mimi..
Mfano kitabu cha Waebrania kimeandikwa na apolo ila alikua anaandika kwa niaba ya Paulo. Paulo alikua pembeni anamuelekeza andika hiki na hiki
Nilikuwa sijui hii,
Nilikuwa najua kuwa kuna waandishi , ambao kazi yao maalum kurecord yaliyo jiri ktk agano la kale, huku kwingine agano jipya sikufuatilia
 
Lengo ni kuuliza au ulikua unafikisha ujumbe?
 
Hivi ni vitabu vingapi umewahi kuvisoma ambavyo ni kinyume misimamo yako?ukiacha biblia au Qur'an.
 
Hivi ni vitabu vingapi umewahi kuvisoma ambavyo ni kinyume misimamo yako?ukiacha biblia au Qur'an.
Vingi sana, hata hicho kinachambua mambo kwa kuangalia pande tofauti, upande wa imani na wa usomi,hakijaelemea upande mmoja tu.

List ya vitabu nilivyosoma ni ndefu sana na hata sikumbuki vyote maana ni vingi sana, itabidi labda nifike nyumbani nikupe majina, kuna vitabu vya wainjilisti wana imani kali wanatetea kuwepo Mungu sana, nawasoma nao, kwa sababu natakakujua arguments zao.

Nimetokakusoma kitabu cha Muhammad si muda mrefu. Kinaitwa "Muhammad: His Life Based on the Earliest Sources"
by Martin Lings

Namsoma sana mwanafalsafa anaitwa Alvin Plantinga, ni mwanafalsafa anayejulikana sana kwa kutetea uwepo wa Mungu, mpaka ameitwa "God's Philosopher"

Alvin Plantinga - Wikipedia

Lakini hakuna aliyepangua "the problem of evil"
 
Nilikuwa sijui hii,
Nilikuwa najua kuwa kuna waandishi , ambao kazi yao maalum kurecord yaliyo jiri ktk agano la kale, huku kwingine agano jipya sikufuatilia
Ipo hivo mamii..
Ni kama vile injili ya luka ni mafundisho ya Paulo, injili ya Marko ni mafundisho ya Petro .
 
Hawa wafuasi wa makureshi wanatafuta saana kujihalalisha kwa Biblia!!

Wanatakiwa wakiri tu, kwamba jamani dini yetu haikamiliki bila nyie tunaomba msaada! Watasaidiwa kwa kuwaondoa kwa shetani na kuwabatiza .
 
Yap kiukweli ile dini ni half-replica ya bwana Yesu. Wanajitahi ku C&P kila kitu. Bahati mbaya simulizi zao hazina mpangilio unaoeleweka kwa msomaji aliyekomaa kifikra..
 
Yap kiukweli ile dini ni half-replica ya bwana Yesu. Wanajitahi ku C&P kila kitu. Bahati mbaya simulizi zao hazina mpangilio unaoeleweka kwa msomaji aliyekomaa kifikra..
Sasa ukweli huu unawamiza mnoo! Unawasababishia wawe na chuki kuu juu ya ukweli!
 
Nilitaka kujua tu kama huwa unasoma vitabu kama hivyo ambavyo ni tofauti na misimamo yako,ni vizuri kujua kuwa huwa unavisoma.

Kama kuna waliyokuwa wanasema hakuna Mungu ila sasa wanaamini Mungu,hivyo ni wazi hoja walizokuwa nazo wao zilipanguliwa au walikuja kugundua kuwa msingi wa hizo hoja zao ulitokana na ujinga waliyokuwa nao. Kwa hivyo nawe nakushauri uendelee kusoma hivyo vitabu pengine utakuja kupata majibu ya hoja zako(sio kuamini Mungu) kama hao wengine.
 
Vitabu viko so freaking underwhelming.

Unasoma, unaona hata hao walioandika wenyewe wanakwenda na motions tu.

Ukihoji, unaambiwa amini tu, masuala ya imani si ya kuhoji.

Kamsome James Kugel katika kitabu nilichokiweka hapo juu.

The problem of evil proves that an omnipotent, omniscient and omni benevolent godhead is pure human fantasy.Period.
 
Hakuna mtu anayechukiwa kama mtu anayeongea ukweli..
Kwahiyo mkuu unasema kwamba watu wanawapenda wale wenye kuwaongopea na huku wakijua ni uongo,kuliko wanavyowapenda wale wenye kusema ukweli na huku wakijua kuwa huu ni ukweli?
 
Kwahiyo mkuu unasema kwamba watu wanawapenda wale wenye kuwaongopea na huku wakijua ni uongo,kuliko wanavyowapenda wale wenye kusema ukweli na huku wakijua kuwa huu ni ukweli?
Kamwambie ukweli magu kua anaenda vibaya kiuongozi uone itakua vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…