Ha ha ha Smile bana si jana ulisema humtaki tena unatafuta Babu kama Asprin na DC???
Umetafakari sawasawa kweli?
Peleka kwenye magazeti ya UDAKU
Duuuu,
Kumbe hata vibogoyo wanatafutwa??? Yaani wana umuhimu au ni deal kama zamani tulivyokuwa tunaambiwa kuwa kipara huko DRC ni zaidi ya diamond!
Achana nae huyo akikua ataacha bado mtoto amekurupuka usingizini
😛oa.....
matatizo ya kuendekeza extended families na mwanaume mpuuziDears,
Wakati MJ1 mie naomboleza na ya kwangu, leo asubuhi nakutana na simu ya rafiki yangu ambaye alikuwa analia simuni kiasi cha kumwomba anisms tatizo ni nini. Akaamua kuniandikia mail ya kilichomsibu;
Yeye na Mr wake wanaishi mbalimbali kutokana na kutafuta maisha. Dada Suzzy (Si jina lake halisi) anaishi nje ya nchi lakini within EAC na mumewe anaishi nchini.
Juzi jumapili Da Suzzy anasema kapigiwa simu na shemeji lakini kwa bahati mbaya alikuwa amejipumzisha hakuisikia (ilikuwa ni jioni kwenye saa kumi na mbili jioni). Lakini alipoamka na kukuta missed call, akataka kucall back, only to realize kuwa hana credit kwenye simu na huko anakokaa ni mbali na maduka. So hakuweza kupiga but akajihimu alfajiri kwenda mjini kununua voucher akampigia shemeji hakupokea, akatuma sms ya kuomba radhi ya kushindwa kuwasiliana hakupata majibu. Lakini baada ya masaa mawili, akiwa kazini akakutana na e-mail ilotoka kwa Mr wake ikisema-
kuanzia muda sasa hatokuwa anapokea simu za mkewe hovyo, na muda alioamua ni fridays mchana na mwisho saa nne tu.
Da Suzzy anasema amechanganyikiwa, hajui la kufanya maana anajiona kama anatumika tu kwani kwa muda wamekuwa na matatizo na Mr wake (Haya sikuwa nayajua hadi leo). Anasema mumewe kwa sasa anamdai pesa ambazo amezitumia kwa kulipia matumizi ya nyumbani huku TZ kama maji na umeme, Mama ni among ya wale ambao wanatake care kila kitu ndani ya familia, mf. matengenezo/insurances za gari la familia, chakula cha familia n.k.
Silaumu lakini ninayo mawazo juu ya hili, ila kabla sijamweleza lolote ninaomba tusaidiane, maana ninaweza kuwa ninachokifikiria sicho.
This means it is over between us for long time therefore we don't have to interfere each other in our life!
Hivi na ukikuta mail kama hii unafanyaje???
matatizo ya kuendekeza extended families na mwanaume mpuuzi
sijawahi kusikia mtu mwenye akili timamu anadai pesa za matumizi anazotoa kwa familia yake
ni kweli swahiba, niliogopa tu kusema kwamba huyo demu naye zezeta maana siku hizi watu wako very gender sensitiveMTM...hapana kamanda...kuna wanawake wajinga pia...hasa huyu!
"msukule"
...ni dhahiri haya matatizo ameyalea miaka nenda rudi,...
leo hii amepewa ratiba ya call centre, ati naye rohoni hasa
anaumia? khaaa?????????? can't she tell she's being abused?
"msukule"
kwani ni lazima wawasiliane na simu? e bana mimi mwenzenu roho yangu
ishaingia kutu... hii kitu kubembelezana aisee NEVER AGAIN....pheeeww, ujinga mtupu!
...sijaupenda kabisa mdahalo huu mwj1...najuta kuharibu mapumziko yangu jioni hii..
huyo shoga yako ni "msukule" tena wa kujitakia!
nimeshangaa kweli, halafu huyo dada naye anataka ushauri wakati writings are on the wall, kwamba its a dumb and dumber relationshiptena anamdai mkewe, wala sio hawara! halafu mke mwenyewe hayuko home, anataka refund ya hela aliyotumia kula yeye na wanae! wonders will never cease,huh! nadhani ntaanza kuvuta bhange this wknd, i shld!
nimeshangaa kweli, halafu huyo dada naye anataka ushauri wakati writings are on the wall, kwamba its a dumb and dumber relationship
WTF.... hebu ngoja nipate mneli kabisa maana ntavunja haka kamachine ka watu
we acha tu, kuna mexican products unapiga pafu mbili halafu unajikuta uko mitaa ya jupiter ukielekea pluto kwa kibajaji... ni balaa tupu aisee, hata kile cha usandawe hakioni ndanimneli? kitu kipya sokoni eeh? inabidi unifedex kaka,lol
Smile kakudondokea bana
matatizo ya kuendekeza extended families na mwanaume mpuuzi
sijawahi kusikia mtu mwenye akili timamu anadai pesa za matumizi anazotoa kwa familia yake