Soka la kisasa duniani linahitaji kasi na maarifa. ..Sakho anavyo.....tumpe muda.
Ugonjwa wa simba upo kwa mtu awezaye kutengeneza na kulisha strikers kwa haraka haraka .Bwalya talented but slow....
Simba rekebisheni hapo halafu muone who is Sakho and Banda...
Hakuna kitu apoNikimwangalia Pape ousmane sakho aina yake ya uchezaji na spirit ya upambanaji anapokua uwanjani, inanijia taswira ya Jose Luis miquissone. Simba wasifanye makosa ya kumuacha huyu mwamba anahitaji muda kidogo tu kuprove uwezo wake.
Au. Nyie yanga sako hajuiKama Sako katemwa basi mimi ndoa yangu na Simba ishaisha hata mchango situmi, watu wanaendeshwa na mihemko haiwezekani unamtoa dogo kumleta babu!
Chama nampenda lakini kwa hili ilitakiwa tu move on
Wanakujua sababu unawapaga takoAcha kunipotezea muda Pumbavu Wewe sawa? Leta hapa Ushahidi wa post yangu yoyote au Uzi wangu wowote ambao GENTAMYCINE nilijinasibu kuwa ni TISS AGENT ( USALAMA WA TAIFA ) ili wanikamate upesi sana kwa 'impersonation case' sawa?
Na kukuonyesha kuwa najiamini kwa Taarifa yako kuna Seniors Wawili ( Wakurugenzi wa Idara fulani Mbili ) huko na Agents / Field Officers Watano wananijua 'personally' GENTAMYCINE ( kama walivyo pia Wastaafu Waandamizi wengine huko ) mpaka na hii ID yangu hapa JamiiForums tena hadi ninapoishi hivyo wakitaka Kunikamata ni rahisi na kwa Sekunde chache mno.
Kuhusu Mimi kujifanya najua mengi wala hujakosea hivi kwa Mtu anayesoma sana, anafuatilia Taarifa mbalimbali ( za Habari hadi Nyinginezo ) na ni Mtu wa kupenda Kujichanganya Vijiweni na Kwingineko kuwa 'Knowledgeable' na 'Well Informed' ni tatizo au ubaya Kwako?
Mlaumu Mungu kukupa Upumbavu huo.
Sako atacheza lini kwa Lyanga na nado?Azam iwasajili hawa wanaotemwa watakua wameokota dodo kweli kweli
Ingekua football is always about speed and sharpness busquet asingecheza mpiraSoka la kisasa duniani linahitaji kasi na maarifa. ..Sakho anavyo.....tumpe muda.
Ugonjwa wa simba upo kwa mtu awezaye kutengeneza na kulisha strikers kwa haraka haraka .Bwalya talented but slow....
Simba rekebisheni hapo halafu muone who is Sakho and Banda...
Naunga hoja sakho na Banda wale Ni hazina kwa Simba ,hata wanaosema atemwe Banda hawana jicho la mbali ,hao wote wawil Ni talented pia umri wao unaruhusu Sana ,wapewe muda wa kutosha watatusaidia mbelen , hata Duncan sio mchezaj wa kuachwa kizembe.
Wakutemwa hapa Ni Hawa
Wawa
Kagere
Hawa Ni kimataifa .
Kibongo bongo wakutemwa Ni
Bocco
Nyoni
Gadiel
Kakolanya
Hao ndio hawana msaada kwa Simba ya Sasa yenye malengo ya kimataifa ,wengine wote wako fresh kabisa isipokua Kibu apewe program maalum kumfanyia councelling apunguze pupa akipata mpira awe mtulivu ,hii program imhusu na Mugalu pia.
Bench la ufundi toa yule Mrundi Hitmana maana anakula pesa ya bure tu pale msimbazi.
Wahamasishaji toa Mwijaku Tena akae mbali na Simba kabisa.
Msemaji wa Timu atafutwe mwenye Busara Simba ya Sasa sio ya kuwa na msemaji dizain ya manara ,mchukueni hata Masaubwire yule bro Ana busara Sana .
Upande wa viongoz ,Mangungu apewe semina ya Nini maana ya kiongoz mkubwa kwenye club kubwa Kama Simba ,apunguze kuharisha hovyo hovyo mbele ya kamera pia aache habar za kuwawazia wapinzan pind anapofafanua Jambo.
Kwa Leo Ni hayo tu
Taahira anaweza Kuujua vyema Mpira?Sanko hakuna anachomzidi Denis nkane
Ratiba yako ya Leo ya Kunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili ulionao kwa muda mrefu inasemaje?Hakuna kitu apo
Ratiba yako ya Leo ya Kunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili ulionao kwa muda mrefu inasemaje?Wanakujua sababu unawapaga tako
Kumbuka nae pia ni Binadamu na kuna muda TFF wanafanya Mambo ya Kipumbavu ( Kipopoma ) kiasi kwamba hata huwezi Kuwavumilia.Aiseee apo kwenye viongozi panakera sanaaa yaani unakuta kiongozi mkubwa kama Mangungu anaongea maneno ya khanga mbele ya waandishi wa habari kitendo icho kinakera sanaaaa, kiongozi anapaswa kuongea vitu vya msingi kuhusu timu sio makelele kelele tu utadhani shabiki.
Kumbuka nae pia ni Binadamu na kuna muda TFF wanafanya Mambo ya Kipumbavu ( Kipopoma ) kiasi kwamba hata huwezi Kuwavumilia.
Tena afadhali Yeye Mwenyekiti Mangungu huwa akikasirika anaishia tu kutoa hayo maneno ya katika Khanga ila ningekuwa ni Mimi GENTAMYCINE kwa Hasira zangu Kali na Mbaya za Kizanaki na Kimakuwa ( bila kusahau na zile za Kitutsi ) ningekuwa nawapiga mno Ngumi na Kuwawamba sana Vibao.
Wanakera!!!
Nado pancha huyo lyanga ana nini cha kumzidi sakhoSako atacheza lini kwa Lyanga na nado?
Duh! Kamuulize manura anamjua Lyanga uyo sakho hajui mpira kabisaNado pancha huyo lyanga ana nini cha kumzidi sakho
Hii ni akili ndogoKocha amewaona wote. Anajua pia uwezo wa wanaokuja na namna atakavyowatumia.
Usajili wa Simba unamalengo ya michuano ya Africa, sio ligi ya Bongo.
Upewe tunguliOusmane Sakho ni takataka tu hakuna mchezaji hapo, kiufupi sajili zote za Simba msimu huu ni magarasa tupu
Kacheza leo na katupia haya sema tena mimi ni utopoloSako atacheza lini kwa Lyanga na nado?
Khabari unayo kanywe panadol sasaDuh! Kamuulize manura anamjua Lyanga uyo sakho hajui mpira kabisa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app