Kama ni kweli ninapinga kwa Papi Ousmane Sakho 'Kutemwa' Simba SC

Atemwe tu Kama kunauwezekano wakuja mwingine
 
Simba wakimwacha tu anaenda Yanga!
 
VP bAada ya mechi ya azam __? Bado ni taKatAka
Mkuu Natambua kipaji cha hali ya juu alichonacho bwana mdogo Ousmane Sakho, iyo komenti yangu ilikuwa na lengo la kumvuruga tu huyo Popoma alieanzisha huu uzi kwa maana huwa ananisababishia ban humu jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…