Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Ndio ndomana kamati ya vinywaji wale wa high table wame ahilisha untill further notice.Leo kwenye kijiwe chetu cha kahawa alikuja mzee mmoja anakimbia kuwahi siti atupe ABCD kwa alichosikia kutoka huko kijiwe cha mzambarauni.
Mzee kasema kuwa huko kwenye wapishi wengi wa chakula kuna mmoja katia chakula chumvi na ndio maana chakula hakikuliwa hivyo wageni wakaondoka kurudi walipotoka wakiwa wanyonge....
Mzee anasema sherehe waliyoitegemea watu wengi kuhusu bibi harusi inaelekea ukingoni, wakwe wamekimbia ukumbi, wananzengo nao hawataki kushiriki pia watoto hawaelewi lolote lile
Hata kama ni wewe unawezaje kuoa mwanamke mwenye watoto watatu na baba yake yupo tena anazo pesa chafu???
This is not POLITICS it's a STORY
Meza kuu wamechoka na drama za bibi harusi nasikiaNdio ndomana kaati ya vinywaji wale wa high table wame ahilisha untill further notice.
A Good Story, Nevertheless.Leo kwenye kijiwe chetu cha kahawa alikuja mzee mmoja anakimbia kuwahi siti atupe ABCD kwa alichosikia kutoka huko kijiwe cha mzambarauni.
Mzee kasema kuwa huko kwenye wapishi wengi wa chakula kuna mmoja katia chakula chumvi na ndio maana chakula hakikuliwa hivyo wageni wakaondoka kurudi walipotoka wakiwa wanyonge....
Mzee anasema sherehe waliyoitegemea watu wengi kuhusu bibi harusi inaelekea ukingoni, wakwe wamekimbia ukumbi, wananzengo nao hawataki kushiriki pia watoto hawaelewi lolote lile
Hata kama ni wewe unawezaje kuoa mwanamke mwenye watoto watatu na baba yake yupo tena anazo pesa chafu???
This is not POLITICS it's a STORY
Anataka kusemaje huyu jamaa🤣🤣🤣Eti watoto wa tatu na baba Yao yupo na ana pesa chafu 🤣🤣
KabisaKikwete anazidi kuharibu nchi
Alafu zote ni blah blah na mafumbo.Too many threads
HAkuna ulichosikia zaidia ya rumors za mitandaoni tuLeo kwenye kijiwe chetu cha kahawa alikuja mzee mmoja anakimbia kuwahi siti atupe ABCD kwa alichosikia kutoka huko kijiwe cha mzambarauni.
Mzee kasema kuwa huko kwenye wapishi wengi wa chakula kuna mmoja katia chakula chumvi na ndio maana chakula hakikuliwa hivyo wageni wakaondoka kurudi walipotoka wakiwa wanyonge....
Mzee anasema sherehe waliyoitegemea watu wengi kuhusu bibi harusi inaelekea ukingoni, wakwe wamekimbia ukumbi, wananzengo nao hawataki kushiriki pia watoto hawaelewi lolote lile
Hata kama ni wewe unawezaje kuoa mwanamke mwenye watoto watatu na baba yake yupo tena anazo pesa chafu???
This is not POLITICS it's a STORY
HahahahAlafu zote ni blah blah na mafumbo.