Chawa hatumwi
New Member
- Jul 19, 2025
- 4
- 2
Kikwete kafanya nini?Kikwete anazidi kuharibu nchi
Kikwete kafanya nini?Kikwete anazidi kuharibu nchi
How sure?Kikwete anazidi kuharibu nchi
Tupe wewe ukweli 🤔🤔HAkuna ulichosikia zaidia ya rumors za mitandaoni tu
Siyo 19 tena?Tarehe 28 sio mbali....
Ukioa unachapiwaEti watoto wa tatu na baba Yao yupo na ana pesa chafu 🤣🤣
Sasa huu upuuzi ndio nini, mtajitabiria upuuzi mpk mtajiharishia. Kuna kt mnaiombea mabaya hiyo ni sawa na dua za kuku kwa mwewe.Leo kwenye kijiwe chetu cha kahawa alikuja mzee mmoja anakimbia kuwahi siti atupe ABCD kwa alichosikia kutoka huko kijiwe cha mzambarauni.
Mzee kasema kuwa huko kwenye wapishi wengi wa chakula kuna mmoja katia chakula chumvi na ndio maana chakula hakikuliwa hivyo wageni wakaondoka kurudi walipotoka wakiwa wanyonge....
Mzee anasema sherehe waliyoitegemea watu wengi kuhusu bibi harusi inaelekea ukingoni, wakwe wamekimbia ukumbi, wananzengo nao hawataki kushiriki pia watoto hawaelewi lolote lile
Hata kama ni wewe unawezaje kuoa mwanamke mwenye watoto watatu na baba yake yupo tena anazo pesa chafu???
This is not POLITICS it's a STORY
Hapo lazima 🤣Ukioa unachapiwa
Kuna watu aliwaweka ila alikuwa hajui awapenyeze vipi? Anajua kila kitu na mwisho wa siku ataibuka mshindi yule mzee ni mnafiki sanaKikwete anazidi kuharibu nchi
Nyumbu hebu ongezeni ubunifu basi katika utunzi wa vihadithi vyenuLeo kwenye kijiwe chetu cha kahawa alikuja mzee mmoja anakimbia kuwahi siti atupe ABCD kwa alichosikia kutoka huko kijiwe cha mzambarauni.
Mzee kasema kuwa huko kwenye wapishi wengi wa chakula kuna mmoja katia chakula chumvi na ndio maana chakula hakikuliwa hivyo wageni wakaondoka kurudi walipotoka wakiwa wanyonge....
Mzee anasema sherehe waliyoitegemea watu wengi kuhusu bibi harusi inaelekea ukingoni, wakwe wamekimbia ukumbi, wananzengo nao hawataki kushiriki pia watoto hawaelewi lolote lile
Hata kama ni wewe unawezaje kuoa mwanamke mwenye watoto watatu na baba yake yupo tena anazo pesa chafu???
This is not POLITICS it's a STORY
Ndio maana JPM hakutaka kumchekea kbs!Kikwete anazidi kuharibu nchi
Mijinga imekaa kumjadili jk kila sikuKuna watu aliwaweka ila alikuwa hajui awapenyeze vipi? Anajua kila kitu na mwisho wa siku ataibuka mshindi yule mzee ni mnafiki sana
Shida yenu hamtaki watu watoe maoni. Mkisikia msiyoyapenda mnakimbilia TISS, POLISI na kwa msajili. Huku mkijificha kwenye kivuli cha mahakamaMijinga imekaa kumjadili jk kila siku
Ulutaka wajadili kuhusu bibi yako anayeshambuliwa na kunguni na funza huko kijijini?Mijinga imekaa kumjadili jk kila siku
Mkumbusheni kuwa mke wa kiongozi wa China Marehemu Mao Zetung aitwae Jiang Qing alihukumiwa kunyongwa 1981 kutokana na makosa yake ya kujiingiza ingiza kwenye yasiyo muhusu. Asidhani anaogopwa, yeye anastahili kupumzika na kukaa pembeni maana anatunzwa kwa kodi za wananchi. Aangalie kuna watu hawana simile kesho na kesho kutwa hawatasahau.Kikwete anazidi kuharibu nchi