Leo kwenye kijiwe chetu cha kahawa alikuja mzee mmoja anakimbia kuwahi siti atupe ABCD kwa alichosikia kutoka huko kijiwe cha mzambarauni.
Mzee kasema kuwa huko kwenye wapishi wengi wa chakula kuna mmoja katia chakula chumvi na ndio maana chakula hakikuliwa hivyo wageni wakaondoka kurudi walipotoka wakiwa wanyonge....
Mzee anasema sherehe waliyoitegemea watu wengi kuhusu bibi harusi inaelekea ukingoni, wakwe wamekimbia ukumbi, wananzengo nao hawataki kushiriki pia watoto hawaelewi lolote lile
Hata kama ni wewe unawezaje kuoa mwanamke mwenye watoto watatu na baba yake yupo tena anazo pesa chafu???
This is not POLITICS it's a STORY