Kama ni kweli ninayosikia basi nchi inaelekea kupona

Wakishamaliza fukuto lao NRNE are waiting for them.
 
Sasa huu upuuzi ndio nini, mtajitabiria upuuzi mpk mtajiharishia. Kuna kt mnaiombea mabaya hiyo ni sawa na dua za kuku kwa mwewe.
 
Nyumbu hebu ongezeni ubunifu basi katika utunzi wa vihadithi vyenu
 
Hivi akikaa kwenye vikao atakuwa anajisikiaje?
 
Kikwete anazidi kuharibu nchi
Mkumbusheni kuwa mke wa kiongozi wa China Marehemu Mao Zetung aitwae Jiang Qing alihukumiwa kunyongwa 1981 kutokana na makosa yake ya kujiingiza ingiza kwenye yasiyo muhusu. Asidhani anaogopwa, yeye anastahili kupumzika na kukaa pembeni maana anatunzwa kwa kodi za wananchi. Aangalie kuna watu hawana simile kesho na kesho kutwa hawatasahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…