Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Kwa akili zake lile tukio alilo liandaa pale kawe na hili la juzi la mbowe amemaliza mambo yoote. Alisahau kwamba ccm hii siyo ile ya wanamtandaoMkumbusheni kuwa mke wa kiongozi wa China Marehemu Mao Zetung aitwae Jiang Qing alihukumiwa kunyongwa 1981 kutokana na makosa yake ya kujiingiza ingiza kwenye yasiyo muhusu. Asidhani anaogopwa, yeye anastahili kupumzika na kukaa pembeni maana anatunzwa kwa kodi za wananchi. Aangalie kuna watu hawana simile kesho na kesho kutwa hawatasahau.
Ok, kumbe ni issue ya kutengeneza habari tu. EndeleaUlutaka wajadili kuhusu bibi yako anayeshambuliwa na kunguni na funza huko kijijini?
Jk ni public figure wewe. Yule anatengeneza habar
Eti watoto wa tatu na baba Yao yupo na ana pesa chafu 🤣🤣
Watahangaika kikubwa kila aliye alikwa arudi kwake salama
A Good Story, Nevertheless.
You have Potential, don't let it go to waste.
Hao uliowataja ni mmoja, ila hilo jina la pili ni shadow tuMzee wa Msoga kama GSM tu. Anaharibu ligi.
😀😀 very good storyLeo kwenye kijiwe chetu cha kahawa alikuja mzee mmoja anakimbia kuwahi siti atupe ABCD kwa alichosikia kutoka huko kijiwe cha mzambarauni.
Mzee kasema kuwa huko kwenye wapishi wengi wa chakula kuna mmoja katia chakula chumvi na ndio maana chakula hakikuliwa hivyo wageni wakaondoka kurudi walipotoka wakiwa wanyonge....
Mzee anasema sherehe waliyoitegemea watu wengi kuhusu bibi harusi inaelekea ukingoni, wakwe wamekimbia ukumbi, wananzengo nao hawataki kushiriki pia watoto hawaelewi lolote lile
Hata kama ni wewe unawezaje kuoa mwanamke mwenye watoto watatu na baba yake yupo tena anazo pesa chafu???
This is not POLITICS it's a STORY
Zee ovyo sana.Kwa akili zake lile tukio alilo liandaa pale kawe na hili la juzi la mbowe amemaliza mambo yoote. Alisahau kwamba ccm hii siyo ile ya wanamtandao