Kutakuwa na mabadiliko ya katiba, sheria na Tume ya uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025, hivyo uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki, na utaendeshwa na kusimamiwa na Tume huru na Shirikishi ya Uchaguzi.
Tutakushukuru sana kama utatuwekea ushahidi wowote usiotia shaka au uthibitisho kuwa CCM hutumia uhuni kushinda uchaguzi ili kuendelea kuongoza serikali na nchi hii.
Kuna tatizo gani mwanamke akiwa Rais wa nchi?. Tafadhalini sana msitake kutuletea mambo yenu ya mfumo dume.
Ukituorodheshea incompetence ya rais mwanamke aliyepo, ili na sisi tuione hiyo incompetence yake, tutakushukuru sana.
Can you please substantiate how incompetence ya mwanaume is better than incompetence ya mwanamke?.
Ukitupa hizo genuine reasons zako kuwa mwanamke kushika wadhifa wa urais ni makosa.
Duh...!.
Duh...!
Sii lazima tupate rais kutoka CCM, ila kwa Tanzania, ni CCM only and only CCM, ndicho chama pekee chenye uwezo wa kutupatia rais bora.
Duh...!.
Ukiweza kutuorodheshea hizo shida na taabu alizoleta huyu mama, tutakushukuru sana.
Duh...!
Kumbe bandiko hili
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... I was right
Duh...!.
P