Kama ni lazima sana CCM iendelee kuongoza serikali na nchi hii by 2025, basi wazingatie ushauri huu kuhusu mgombea wao....

Kwani uislamu na Allah unasemaje kuhusu mwanamke kuwa na mamlaka ya kiutawala juu ya wanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uislam unasema mwanamme ampe nguvu (empower) mwanamke. (Arrijalu Kawammuna ala Nnissai".

Pia unasema Mwanamke ni stara kwa mwanamme na mwanamme ni stara kwa mwanamke.

Uislam ni mwema sana.

Kwanini haujisomei Qur'an utayapata mengi sana mema, hakuna aliyeisoma Qur'an ikaacha kumshangaza na mkumuongezea upana wa fikra, jisomee tafsiri ya Kiswahili hapa:

 
Hapa kwetu shida ipo kwenye mfumo wa kuhesabu kura.,

--Anayelinda kura ndy huyo huyo anayehesabu kura,
--Na ndy huyo huyo anayetoa matokeo ya Kura.
--Na.ndy huyo huyo aliyeteuliwa na mamlaka ya kusimamia zoezi zima la uchaguzi na mgombea uraisi aliyepo mdarakani .


Unadhani kuna uchaguzi au kiini macho...

Tume wa uchaguzi wanapaswa wawe watu huru ambao hawahusiki na chama chochote na wala hawateuliwi na watawala waliopo madarakani.
 
I think wewe ndo rubbish, hujielewi. Huyu wa kwetu ame prove kuwa hawako tayari. Unahitaji nini zaid.

Tumia japo akili kidogo kuwaza
 
Hii kali ya kufungia mwaka!
 
Naona CCM mmeanza kupigana mapanga wenyewe
Bahati mbaya mimi sio CCM na sijawahi kuwa...

Mimi ni shabiki na mpenzi wa CHADEMA na nataka Tundu Lissu ndiye awe Rais wa nchi hii leo..

Hata hivyo, nimetoa angalizo hili kwa kuwa uhuni wa CCM wa 2020 unaweza kufanyika tena comes 2025 General Election..

Na hivyo, ikitokea tena waamue kufanya uhuni na wakafanikiwa, then wasituletee mwanamke tena ktk position hiyo..
 
U.S.A wenyewe wanajiita wanademokrasia lakini walimchinjia Baharini Hilary Clinton,wakaona bora waingize chizi Trump Ikulu kuliko kuongozwa na Mwanamke.
Naunga hoja mkono;Samia is incompetent for presidency!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mwafrika, halafu hajastaarabika, aongozwe na mwanamke tena Muislam?

Mwenyezi Mungu mkubwa.
Wapo Wanawake smart mfano wa akina Angel Merkel,Christine Largade,Okonjo nk,walikuwa na misimamo kwenye uongozi.
Samia is incompetent ila kinachombeba ni kuwa anaongoza taifa la Wanafiki wasiojielewa ndiyo maana anadumu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi bora kuwahi kutokea Tanzania hii baada ya Kikwete ni mama Samia. Anafanya maajabu, sema una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikii.
 
Sasa hiyo miamba unailinganisha na huyu incompetent Mama Samia.Una akili sawasawa kweli!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kaka Pascal kuna Uzi wako humu,ulisema 2025 twende na Mwanaume na siyo lazima Mwanamke,ulimaanisha nini na leo unataka kuoneshwa how incompetent Samia is!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama unasikia ya uzushi na uongo, mimi nikusaidie nini?

Nakushauri jisomee Qur'an, ipo kwa walimwengu wote, wenzako wengi wameanza kujisomea na wanaiona nuru ya Uislam.

Usiendeshwe na chuki bila ya sababu, Uislam umekukosea nini?
Kuruani yenyewe inakataza Mwanamke kuwa Kiongozi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi bora kuwahi kutokea Tanzania hii baada ya Kikwete ni mama Samia. Anafanya maajabu, sema una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Lissu awe rais?

All the best
 
Kaka Pascal kuna Uzi wako humu,ulisema 2025 twende na Mwanaume na siyo lazima Mwanamke,ulimaanisha nini na leo unataka kuoneshwa how incompetent Samia is!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Yes ni kweli nilipandisha bandiko lenye sauti HII humu ambalo nilisema nimeisikia tuu sauti wala siijui ni sauti ya nani ikiniambia 2025 twende na mwanaume bila kuelezwa sababu kuwa ni incompetence.
p
 
MmmhπŸ€”πŸ€”πŸ€” aisee!

For sure, hizi nchi za dunia ya tatu zinahitaji kiongozi mwenye sura ngumu, macho makali na asiyeweza kucheka na kima.

Tanzania kuongozwa na mwanamke bado sana. Huyu mama kuwa pale was a grave mistake at first place. Kosa hili ni kweli kabisa halitakiwi kurudiwa tena inagalau kwa miaka 100 ijayo.

CCM, CHADEMA na wengine chukueni ushauri huu.

Kuna haja ya kumpata Rais John Pombe Magufuli mwingine mpya aliyeboreshwa kidogo.

Li - Magufuli la 2015 - 2021 kiasi chake liliiweza nchi hii. Laiti angekuwa msikivu na akajaribu kurekebisha mwenendo wake na kuwasikiliza kina Tundu Lissu aliokuwa hawapendi, angekuwa hai mpaka leo!

Bahati mbaya kuwa, alijiingiza mwenyewe kwenye midomo ya Simba na akaliwa kichwa
 
Tatizo ni umeme .tuchangishane nchi nzima tuondoe tatizo.
 
Mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke

Upo sahihi mama sada afai

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Umeandika mambo ya msingi sana ila sidhani kama mhusika atakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…