Kama ni lazima sana CCM iendelee kuongoza serikali na nchi hii by 2025, basi wazingatie ushauri huu kuhusu mgombea wao....

Imekukata Mzee hizo ndoto endelea kuziota Hadi 2030.
 
YOU'RE OBSESSED WITH WOMEN. Unayosema ni sahihi ila acha mfumo dume ni mambo ya kizamani.
 
YOU'RE OBSESSED WITH WOMEN. Unayosema ni sahihi ila acha mfumo dume ni mambo ya kizamani.
I am not obsessed and I will never be obsessed by them!!

What I said about a woman, is the undisputed truth. It's a natural truth.

No one can change that except God himself!

Au hebu niambie, kama unaijua historia ya Biblia vyema..

Kwamba, kama wafalme wote waliowahi kutawala ulimwengu (Israel & Yuda) unamwona mwanamke yeyote ktk list hiyo?

Imetokea tu hapa katikati shetani kaleta udanganyifu wake, watu wakaingia kwenye mtego huo na kupuuza kanuni ya Mungu!

Kwa hiyo, there's no obsession there. It's a natural truth!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…