Kama ni mboga, hawa wanadada wa JF ungewafananisha na mboga gani?

Kama ni mboga, hawa wanadada wa JF ungewafananisha na mboga gani?

Mboga hutumika kukoleza utamu wa chakula na kukifanya kiwe rahisi kulika

Kuna mboga tamu, na mboga tamu zaidi.

Hawa wadada wa jf ww unawafananisha na mboga gani tamu ambayo ww hupenda kuila?

Sakayo - Maharage
Evelyn Salt - Samaki walioungwa na nazi
Shunie - Mchicha
Hajar - Nyama choma


Em weka list yako tuone
Daaah. Nimecheka hapo kwa Hajar lol.

Mjina Mrefu Mungu anakuona aiseee.
 
Back
Top Bottom