nexus
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 374
- 164
nyama haitii mguuHaswa yakiungwa na ndimu weeee matamu hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyama haitii mguuHaswa yakiungwa na ndimu weeee matamu hayo
Ewaaaaahnyama haitii mguu
Daaah. Nimecheka hapo kwa Hajar lol.Mboga hutumika kukoleza utamu wa chakula na kukifanya kiwe rahisi kulika
Kuna mboga tamu, na mboga tamu zaidi.
Hawa wadada wa jf ww unawafananisha na mboga gani tamu ambayo ww hupenda kuila?
Sakayo - Maharage
Evelyn Salt - Samaki walioungwa na nazi
Shunie - Mchicha
Hajar - Nyama choma
Em weka list yako tuone
Hahaaaa. Nini tena mbona mguno Mbalizi?Mngh
Kabisa aiseeeAma kweli siyo lazima kuelewa kila kitu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Aisee [emoji23]
Acha tu rafiki.Juzi walikua wanyama leo mboga kabisa
Mmmh. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23] wala hujakosea njia mkuu
Duuh! Uwe unapata Usingizi bana.Hapa jf sipati usingiz kisa Hajar,
Hajar ni Mwanamke mwenye heshima
Busara na anayejali sana
We cheka tu rafiki. [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa. Ndio napita sasa mdogo wangu.dada hajar umepita huku lkn
Nimepita sasa. HahaaaaaSidhani km kapita aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwanajangwani mwenzangu huu ni utani wa ngumi aiseee. LolKritika dagaa lile la mchanga[emoji23]
[emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaaa. Kama ule uliojaa kwetu Tanga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ntakuwa mchunga
Aya malizia huku twende na kule kwenye shairi lako [emoji23]We cheka tu rafiki. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16]Duuh! Uwe unapata Usingizi bana.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahaaaaa. We Davet Weweee lol.Aya malizia huku twende na kule kwenye shairi lako [emoji23]