Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Jilan yangu Demiss = Mchunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka nikufananishe sema uzi haujanifanyia fair [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee [emoji23]
Hahah! usijari nitakutag, mimi nasubiri wawe samaki maana kuna papa naona kabisa kichwani...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Wakianza kuwa chai nishtue
Hahah!! Uzi upo limited....Nilitaka nikufananishe sema uzi haujanifanyia fair [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah! usijari nitakutag, mimi nasubiri wawe samaki maana kuna papa naona kabisa kichwani...
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mlenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah!! Uzi upo limited....
Afadhali maana hukawii kunifananisha na vitu vya ajabu wewe [emoji23]
Mbona unavunja mashariti ya uzi wa watu lakini [emoji23][emoji23]...Mlenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani nisemaje lakini?Mbona unavunja mashariti ya uzi wa watu lakini [emoji23][emoji23]...
Mods ban moja baridi kwa huyu dada tafadhali...
Sasa mlenda umeingiaje hapo aisee?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani nisemaje lakini?
Nimesema tu Mlenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jilani loooh unaujua mchunga lakini kama mnafuuuuuJilan yangu Demiss = Mchunga
Jilan ww ni mchungu acha tuuuuJilani loooh unaujua mchunga lakini kama mnafuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nani atakuwa Ngulu sasa?!
dada hajar umepita huku lknHapa jf sipati usingiz kisa Hajar,
Hajar ni Mwanamke mwenye heshima
Busara na anayejali sana
Miss Natafuta atakuwa samaki Wa Nazi.Mboga hutumika kukoleza utamu wa chakula na kukifanya kiwe rahisi kulika
Kuna mboga tamu, na mboga tamu zaidi.
Hawa wadada wa jf ww unawafananisha na mboga gani tamu ambayo ww hupenda kuila?
Sakayo - Maharage
Evelyn Salt - Samaki walioungwa na nazi
Shunie - Mchicha
Hajar - Nyama choma
Em weka list yako tuone