Kama ni muhimu kuwa na cheo cha Naibu Waziri Mkuu, kwanini hakiwekwi kwenye Katiba na mafao yake yakafahamika?

Umeuliza vizuri
 
Sijamsikia popote Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Wakili msomi Tundu Lissu akihoji Uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu.

Kwa maana hiyo hakuna kipengere chochote cha Katiba kilichokiukwa

Mlale unono πŸ˜€πŸ˜€
Kwamba akipinga Lissu basi nawe unapinga?!
 
Usikariri Katiba, soma uielewe.
Sio kila cheo ambacho hakipo katika Katiba, kitamzuia Mh. Rais kuteua nafasi ya cheo fulani kadiri atakavyoona inafaa, na Katiba hiyo hiyo inampa mamlaka Mh. Rais kuteua cheo au nafasi fulani kwa kadiri Mh. Rais ataona inafaa, rudia kusoma Katiba uielewe, usikariri.
 
Ni Γ ina ya rushwa
 
Sijamsikia popote Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Wakili msomi Tundu Lissu akihoji Uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu.

Kwa maana hiyo hakuna kipengere chochote cha Katiba kilichokiukwa

Mlale unono πŸ˜€πŸ˜€
Tundu Lissu wala hashangai wala kuona ajabu kwa sababu, uvunjaji wa katiba kwa serikali zote chini ya CCM ni order of everyday na ni matumizi mabaya ya madaraka kwa manufaa yao na si kwa ajili ya nchi na wananchi..

Na ndiyo maana wanaongoza mapambano ya kuipigania katiba mpya maana ndiyo dawa pekee ya kukomesha au kupunguza ulimbukeni huu wa watawala wa kutojali katiba na sheria za nchi...

Ni ajabu watu tunashangaa kuvunjwa kwa katiba kwa namna hii huku tukiwa tumesahau mara kuwa Hayati Rais John P. Magufuli alivunja katiba na sheria kwa uwazi bila chenga kwa kupiga marufuku mikusanyiko ya vyama vya siasa na maandamano huku katiba na sheria zetu zikiruhusu..

Ni kwa sababu pia, katiba yenyewe hii ya 1977 inajiruhusu ijivunje yenyewe..
 
Hata mimi nilijiuliza hilo swali, hivi budget ya mshahara wake unatokana wapi? na mafao na stahiki zake kama naibu waziri Mkuu zitatoka wapi? Akistaafu atapewa ulinzi? Mbona Mrema hakupewa ulinzi cheo chake kilivyo koma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…