johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😂😂Lissu sio lopolopo kama wewe Jo.. Mambo ya ccm kupeana vyeo sio kipaumbele chake wala cha CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Lissu sio lopolopo kama wewe Jo.. Mambo ya ccm kupeana vyeo sio kipaumbele chake wala cha CHADEMA
Umeuliza vizuriCheo cha Naibu Waziri kuu hakipo kwenye katiba iliyopo lakini Marais waliotangulia waliwahi kumteua hayati Mrema na Salim Ahmed Salim kukitumikia cheo hicho.
Jana Rais Samia kamteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kwenye Katiba. Najiuliza kama cheo hiki cha Unaibu Waziri Mkuu kina tija kiutendaji kwanini hakiingizwi kwenye katiba?
Nauliza hivyo kwa sababu hata mafao ya cheo hicho hayajulikani na mwisho wa siku mhusika baada ya kukitumikia cheo hicho anapodai mafao yake huyakosa na huambiwa aonyeshe wapi katiba inayataja. Mfano mzuri ni hayati Augustino Mrema aliyadai bila mafanikio.
Kwamba akipinga Lissu basi nawe unapinga?!Sijamsikia popote Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Wakili msomi Tundu Lissu akihoji Uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu.
Kwa maana hiyo hakuna kipengere chochote cha Katiba kilichokiukwa
Mlale unono 😀😀

Cheo cha Naibu Waziri kuu hakipo kwenye katiba iliyopo lakini Marais waliotangulia waliwahi kumteua hayati Mrema na Salim Ahmed Salim kukitumikia cheo hicho.
Jana Rais Samia kamteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kwenye Katiba. Najiuliza kama cheo hiki cha Unaibu Waziri Mkuu kina tija kiutendaji kwanini hakiingizwi kwenye katiba?
Nauliza hivyo kwa sababu hata mafao ya cheo hicho hayajulikani na mwisho wa siku mhusika baada ya kukitumikia cheo hicho anapodai mafao yake huyakosa na huambiwa aonyeshe wapi katiba inayataja. Mfano mzuri ni hayati Augustino Mrema aliyadai bila mafanikio.
Ni à ina ya rushwaCheo cha Naibu Waziri kuu hakipo kwenye katiba iliyopo lakini Marais waliotangulia waliwahi kumteua hayati Mrema na Salim Ahmed Salim kukitumikia cheo hicho.
Jana Rais Samia kamteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kwenye Katiba. Najiuliza kama cheo hiki cha Unaibu Waziri Mkuu kina tija kiutendaji kwanini hakiingizwi kwenye katiba?
Nauliza hivyo kwa sababu hata mafao ya cheo hicho hayajulikani na mwisho wa siku mhusika baada ya kukitumikia cheo hicho anapodai mafao yake huyakosa na huambiwa aonyeshe wapi katiba inayataja. Mfano mzuri ni hayati Augustino Mrema aliyadai bila mafanikio.
Tundu Lissu wala hashangai wala kuona ajabu kwa sababu, uvunjaji wa katiba kwa serikali zote chini ya CCM ni order of everyday na ni matumizi mabaya ya madaraka kwa manufaa yao na si kwa ajili ya nchi na wananchi..Sijamsikia popote Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Wakili msomi Tundu Lissu akihoji Uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu.
Kwa maana hiyo hakuna kipengere chochote cha Katiba kilichokiukwa
Mlale unono 😀😀
Hata mimi nilijiuliza hilo swali, hivi budget ya mshahara wake unatokana wapi? na mafao na stahiki zake kama naibu waziri Mkuu zitatoka wapi? Akistaafu atapewa ulinzi? Mbona Mrema hakupewa ulinzi cheo chake kilivyo koma?Cheo cha Naibu Waziri kuu hakipo kwenye katiba iliyopo lakini Marais waliotangulia waliwahi kumteua hayati Mrema na Salim Ahmed Salim kukitumikia cheo hicho.