Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumia hii njia mkuu, ata ikitokea nikala huwa ni kdg sana sio kujaza plate kama zamani, nimepunguza karibu kilo saba ndani ya miezi kadhaa.Ni njia bora pia Ina save bajeti hahahaha
Usilale bila kula.
Ishu ni unakula nini na kwa kiasi gani.
Kula kidogo sana kama ugali unapga tonge zako tano.
Au matunda kiasi unalala.
HongeraNatumia hii njia mkuu, ata ikitokea nikala huwa ni kdg sana sio kujaza plate kama zamani, nimepunguza karibu kilo saba ndani ya miezi kadhaa.
Usilale bila kula.
Ishu ni unakula nini na kwa kiasi gani.
Kula kidogo sana kama ugali unapga tonge zako tano.
Au matunda kiasi unalala
Kuna rafiki yangu ikifika ramadhani huwa wakati wa kufuturu anakula kidogo sana, labda andazi moja na tende kidogo na chai. Alfajiri wakati wa daku ndio anakula, na akimaliza kula daku harudi kulala tena, anaenda kwene shughuli zake. Huwa anapungua vizuri sana.Kipindi hiki cha mfungo wa ramadhani ni kipindi kizuri Cha kula mlo mmoja tu kwa siku jioni! Kwa kuwa daku ni suna inaweza kuachwa! Hahaha
Hivi mkuu calories lina maana gani ?Kupungua au kuongezeka uzito kunatokana na calories. Ukila calories nyingi kuliko unazotumia utaongezeka, ukila kidogo kuliko unazotumia utapungua. Hamna kingine.
Ukila less calories lakini ni junk foods utapungua lakini utakua hauna afya nzuri wala nguvu ya kufanya kazi za kawaida.
Ukila calories nyingi, hata kama ni health foods utaongezeka uzito.
Kula usiku karibu na muda wa kulala kunapunguza quality of your sleep, baasi. Suala la kuongezeka na kupungua halitegemei umekula saa ngapi, linategemea calories tu.
Huo ndo utaratibu mzuri.Kuna rafiki yangu ikifika ramadhani huwa wakati wa kufuturu anakula kidogo sana, labda andazi moja na tende kidogo na chai. Alfajiri wakati wa daku ndio anakula, na akimaliza kula daku harudi kulala tena, anaenda kwene shughuli zake. Huwa anapungua vizuri sana.
Hapo Gabbage in,gabbage out.Mimi nadhani cha umuhimu ni mazoezi tuu ht kama unakula sana
Nani alisema kulala bila kula ni tatizo?Usilale bila kula.
Ishu ni unakula nini na kwa kiasi gani.
Kula kidogo sana kama ugali unapga tonge zako tano.
Au matunda kiasi unalala.
Hata mimi sijui.Nani alisema kulala bila kula ni tatizo?
Ndio,ni harmonize.Hata mimi sijui.
Wewe unamjua ?
Bila shaka umeshamjua tayari.Ndio,ni harmonize.
Bwana Torque vs HP kasema ni harmonize.Nani alisema kulala bila kula ni tatizo?
Makofi tafadhali.Bwana Torque vs HP kasema ni harmonize.
Kwa hiyo jawabu ni harmonize kwa mujibu wa bwana Torque vs HP
Kama huyu hajafunga, ni amebadilisha masaa ya kula tu!Huo ndo utaratibu mzuri.
Kuna watu wakiftari ni ftari nzito,hogo gimbi,chai,tende.
Usikua kama nne nne humo anapiga tena kapilau kake kadogo,then saa 8 anaamka anakula daku nzito ya wali then analala.
Mtu kama huyu kwa ulajii huu huko tumboni badala ya enzymes kumeng'enya chakula wataanza kushangaa kwa ulafi ulioje