Kama ni muhimu ule usiku, kula matunda. Kama huna matatizo ya kiafya usile itakusadia kupunguza uzito uliokithiri

Kama ni muhimu ule usiku, kula matunda. Kama huna matatizo ya kiafya usile itakusadia kupunguza uzito uliokithiri

Mimi mmoja wapo.Toka 2012 mpaka leo uzito wangu ni 63kgs at 30's years now
😁😁😁 wewe upo kama mimi kwa mara ya kwanza toka 2016 nipo 63Kg mwaka huu ndio nimefika 65kg ila na hii Ramadhani nahisi tunarudi kulekule
 
Back
Top Bottom