Rabonn JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 5,789 Reaction score 11,106 Apr 28, 2021 #61 Cvez said: Kuna wenzangu na mie mti mkavu hata tule nini hakuna lolote. Click to expand... Mimi mmoja wapo.Toka 2012 mpaka leo uzito wangu ni 63kgs at 30's years now
Cvez said: Kuna wenzangu na mie mti mkavu hata tule nini hakuna lolote. Click to expand... Mimi mmoja wapo.Toka 2012 mpaka leo uzito wangu ni 63kgs at 30's years now
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 11,837 Reaction score 17,412 Apr 28, 2021 #62 DE FULE said: Kama huyu hajafunga, ni amebadilisha masaa ya kula tu! Click to expand... Kufunga amefunga. Tafsiri ya kufunga ikiwemo kujizuia kula mchana
DE FULE said: Kama huyu hajafunga, ni amebadilisha masaa ya kula tu! Click to expand... Kufunga amefunga. Tafsiri ya kufunga ikiwemo kujizuia kula mchana
Cvez JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 4,405 Reaction score 13,411 Apr 28, 2021 #63 Date20210317 said: Mimi mmoja wapo.Toka 2012 mpaka leo uzito wangu ni 63kgs at 30's years now Click to expand... πππ wewe upo kama mimi kwa mara ya kwanza toka 2016 nipo 63Kg mwaka huu ndio nimefika 65kg ila na hii Ramadhani nahisi tunarudi kulekule
Date20210317 said: Mimi mmoja wapo.Toka 2012 mpaka leo uzito wangu ni 63kgs at 30's years now Click to expand... πππ wewe upo kama mimi kwa mara ya kwanza toka 2016 nipo 63Kg mwaka huu ndio nimefika 65kg ila na hii Ramadhani nahisi tunarudi kulekule