Kama ni Mungu ndiye aliyekupangia, hata mkikutana kwenye mazingira mabovu na ya kishenzi ndoa yenu itadumu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kuna demu mmoja nilikuwa nafanya naye kazi mahali. Zama zile kulikuwa na foleni sana Dar, barabara nyingi zilikuwa nyembamba, hivyo basi mambo ya happy hour kuanzia saa 11 hadi saa mbili usiku ilikuwa ni ratiba ya sehemu nyingi za biashara.

Watu walijazana kwenye mabaa kusuburi foleni ipungue.

Basi hiyo ijumaa tumetoka job. Kutoka mjini hadi daraja la Salenda tumetumia saa moja na nusu, tukaamua twende Masaki tukale mishkaki jeshini (hiki kiwanja siku nyingi kilikufa)

Basi ikawa ni mishkaki na bia,.mie nadidimiza tu Konyagi. Mpaka mida ya saa nne tupo Masaki, binti tabia zikabadilika.

Mara kanipa mdomo, mkono kaupeleka kusini mashariki mwa uwanja, kaanza kuchezea mipira, mi namwangalia tu, mara katoa chock stick, kaitia mdomoni, mi namwangalia tu, mara kazidiwa , tukahamia kwenye gari.

Tukatafuta chimbo takatifu, vioo vimepandishwa, kipupwe mwanana kinarindima, tukaanza kupiga tukio maridadi.

Baada ya dakika ishirini shetani akatuachia, ndio tunakumbuka tuko Yatch Club kwenye parking. Tukavaa fasta na kuanza safari ya kurudi makwetu.

Ukawa ndio mchezo wetu, gari likatuunganisha. Baada ya miaka miwili tukafunga ndoa kanisani, ila tukajiapiza mambo ya ku do kwenye gari sasa yawe mwisho. Hatujarudia tena mchezo huo.

Sasa tuna watogo watatu, na gari yetu tumeipaki kivulini kwa heshima, huwa tunaitumia kwenye shughuli za heshima tu.

Naendelea kumuomba Mungu atuzidishie upendo, afya njema na amani
 
Kwenye gari tena aiseh
 
Hivi mwanamke mnafanya naye kazi, huenda alikua keshakua na intimacy nawee ila wee Domo zege.

Siku hiyo mmeona mpite Bar, mmelewa, hamna Mlevi mwenye kutumia Akili yake .

Mmekulana , baadae mmerudi makwenu , kesho yake pengine kazin mkaonana namaisha yakaendelea mengine.

Sasa huyo ni wakusema "mkikutana kwenye mazingira ya KISHENZI na mabovu,kama imepangwa , mtadumu??".

Kilichokukutanisha na Huyo mwanamke ni KAZI .
Bar mlipita kama washikaji baada ya Kazi ,ni nyege tu zilizokolezwa na Pombe ( Na hii iwafunze Vijana, Mwanamke akishalewa Pombe , analika na mwanaume yoyote, na hivo basi MSIOE WALEVI , NARUDIA MSIOE WALEVI "

Naendelea , Hapa Hoja ingekua " aiseee nilienda Bar, nikakutana na Manzi amekaa zake anakunywa au anavizia Buzi au muhudum wa Bar, tukaelewana, Sasa hivi ndo Mke wangu !!.".
 
Mbona kuna dogo aliokota mzigo Sky Way Ohio hadi leo wana wajukuu?
 
Back
Top Bottom