Kama ni mzima wa afya mshukuru Mungu, kuna watu wanateseka na maradhi

Na Mbususu utaziacha pia
 
Kikubwa tuendelee kula bia na mbususu tungali wazima!
 
Pole Sana
Mungu Akufanyie Wepesi Upone Haraka, Uje Uendelee Kulijenga Taifa Letu
 
Mkuu tafuta hela
 
Hivi hii mentality kuwa wote tunaotumia JF,Tunakaa dar aliwadanganya nani?

halafu me sihusiki na hizo kazi za laana(bodaboda)

mimi sio dogo mkuu,kama ulishindwa kukomenti kistaarabu ni bora ungeacha...
 
Hakika mkuu ila kinacho umiza na kuhuzunisha ni ule upweke mtu alionao maana si jambo jepesi uwe hoi kitandani halafu huna hata wakukufariji hasa ndugu jamaa na marafiki hata mmoja wakuja kukujulia hali na kukuuguza
 
Hakuna atakae pona kwenye hii dunia mkuu...tulizaliwa hospital na tutafia hospitali
Hiyo haipingiki kufa ni lazma mkuu hapa issue ni kudhalilika kwa maradhi hospital huku mtu akikosa chakula na mtu wa karibu wa kumhudumia
 
Amen mkuu hakika Mungu atujaaliwe tusijekudhalilika
 
Asante mkuu
 
Kweli kabisa mkuu
 
kwanza pole Mkuu ...Ila ndo maana tunasisitizwa kuwatembelea wagonjwa hii dunia unaweza kuwa mzima kesho ukawa hata kujisafisha huwezo kwa matatizo .
Asante mkuu hakika nimewekea akilini hili la kuwatembelea na kwausaidia wagonjwa wasiojiweza mathalani pale MOI naona kuna wale waislam wanaotoa msosi naweza kuorganize nao nikawa nawapatia vyakula kwa kila fungu langu la kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…