Kama ni ujinga, huu imeizidi kiwango

Kama ni ujinga, huu imeizidi kiwango

Hiyo ilikuwa kazi yake huyo baba, wewe mwanao afe ghafla unaweza kimbia kwenda kumzika kweli?
 
Ukanda wa dumila,feri,magole,mgudeni,mvomero Hadi tuliani,kibati, Rudi dakawa na viunga vyake Kuna ushirikina wa "kishamba sana"
 
Huenda alikuwa na lake jambo.
Ndiyo maana yake, badala yakutafakari unakimbilia kumzika mwanao, anajua kila kitu huyo mdingi.

Mwingine alikuwa anagoma mwanaye asiolewe sababu hatoi ugomvi ukoo mzima, alitaka kuwa kichaa akaambiwa wewe vua nguo tembea barabarani mtoto anaolewa sahizi hataki kuongea na mtu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu, nafikiri kuna typing error hapo juu: " Mwingine alikuwa anagoma..."
 
Unamaanisha niandike Baba mwingine? Au niandike vipi mkuu!!??
Inawezekana mimi ndiyo sijaelewa, ni kwamba naona kama vile ulichokiandika sicho ulichokisudia. Umeandika hivi, "... sababu hatoi ugomvi ukooo mzima..."

Sijaelewa ulichomaanisha. Ndiyo maana nimefikiri pengine mkono uliteleza wakati ukiandika.
 
Back
Top Bottom