Kama Ni Utajiri Angekuwa Tajiri Wa Kutupwa,Kama Ni Pesa Usiseme,Lakini Hazionekani-SALIM A. SALIM

Kama Ni Utajiri Angekuwa Tajiri Wa Kutupwa,Kama Ni Pesa Usiseme,Lakini Hazionekani-SALIM A. SALIM

Bepali

Senior Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
180
Reaction score
62
Huyu jamaa ni mwanasiasa mkongwe sana na kama ni pesa kwa kazi aliyofanya duniani basi angekuwa nazo za kumwaga mno ukiachilia mbali tu hiyo elimu yake.Lakini we tafuta popote pale huwezi investment ukaambiwa ni yake,sasa yeye aliwekeza wapi?? Kuna siku nasikia Mwl.Nyerere alishawahi kusema zamani kuwa salim alikuwa na mambo machafu sana sasa sijui mashushu wake walimtonya kitu gani?
Au ndugu yetu yeye aliwekeza nje ya nchi yetu?Mimi sijui kitu ila wanajamvi karibuni sana tufahamishane mana kama kuwa na pesa huyu ndiyo angekuwa nguli haswa mana huko njee mshahara wake siyo mas'hala,na kama kweli aliridhika na alichonacho hajafanya ufisadi basi huyu ndiyo anastahili kuwa mfano wa kuigwa na pia anastahili kuwa Rais wetu pia.

Haya wana jamii karibuni sana kuhangia kwa ustaarabu na si kwa jazba wala kukejeliana.
 
1. Alikuwa na hisa katika umiliki wa malori ya MWANAMBOKA

una uhakika au ulishamwona na mwanamboka pamoja au ulimwona mwanamboka akienda kwake salim au ofisini au ni uzushi tu????
 
kwani sasa hivi sifa ya mgombea uraisi ni asiwe fisadi basi?

Hatupimwi tena uwezo?

Afu hapa MMU jamani
 
una uhakika au ulishamwona na mwanamboka pamoja au ulimwona mwanamboka akienda kwake salim au ofisini au ni uzushi tu????

Katika post yako umeuliza nanukuu "tafuta popote pale huwezi investment ukaambiwa ni yake,sasa yeye aliwekeza wapi??" nimukujibu nilivyosikia na kama ulivyouliza ............. sasa hapa unauliza swali lingine kama nilimuona akienda kwake?
Hebu basi niambie unachokitaka nini? Kumtete, kukanusha tulichosikia, kumsafisha ama?
 
CCM walishamchafua mzee wa watu!Hana mpango tena na siasa uchwara za Tanzania.
 
Katika post yako umeuliza nanukuu "tafuta popote pale huwezi investment ukaambiwa ni yake,sasa yeye aliwekeza wapi??" nimukujibu nilivyosikia na kama ulivyouliza ............. sasa hapa unauliza swali lingine kama nilimuona akienda kwake?
Hebu basi niambie unachokitaka nini? Kumtete, kukanusha tulichosikia, kumsafisha ama?

basi yaishe samahani mkuu ila tunakuomba uendelee kutujuza.
 
Nakumbuka enzi hizo salim alikuwa jina kubwa duniani hela balaa!!
 
Kama unavyouona utajiri wa david mosha nyuma ya pazia ni Ri1
Ndio hivyo hivyo utajiri wa mwanamboka nyuma ya pazia salim ahmed salim

Pili uwekezaji bongo uzushi tupu kama alikuwa huko nje lazima atakuwa na connection ya nje
So usishangae kusikia ana bil 100 uswiss watu hawana interest tu ya kumfuatilia (kina zito)
 
Kwani moderator amelala?atoe hii kitu humu,huku hatutaki stress za siasa
 
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikijiuliza kuhusu huyu bwna salim ahmed salimu mali yake tangu yuko nje ya nchi hii ameiwekezea wapi? mana kama ni hela tu nadhani atakuwa alikuwa nazo nyingi na ni mmoja wa tz wachache waliokuwa nazo tangu zamani lakini huwezi kukuta mtu anakwambia uwekezaji huu ni wa SALIM.

Pili,kulikuwa na ishu ya nyerere kipindi flani alisemaga salim alikuwa na mambo machafu sana sasa sijui yepi hayo aliambiwa na mashushushu wake kwa wanaokumbuka watukumbushe basi.

Tatu,kulikuwa na ishu ya uarabu,waznz wengi walikuwa wanasema kuwa alikuwa mwarabu na ushahidi wa hayo ni kwamba eti alikuwa na ndugu wengi tu wenye nyadhifa katika jeshi la OMAN!!!kwa wanao kumbuka watuambie.

Nne,jamaa ni mtu ambaye katulia sana na kama anapiga madili ya kihalali na biashara halali nasema huyu ndiyo mtu wa kuigwa kwetu na ndiyo mtu anayestahili kuwa RAIS wa taifa letu mana kama aliweza kuitawala afrika yote inamaana atashindwa tanzania???

Haya wadau karibuni mtupe mawazo yenu basi.
 
unauliza au unaeleza?salim alichafuliwa na wahuni wa mtandao wakiongozwa na jk,lowassa,membe,rostam,sitta,clouds fm,etc etc..uwe unakuja na habari kamili sio unaandika kama issa michuzi
 
KABLA YA jk HUYU JAMAA NDO ALIKUWA CHAGUO LANGU BUT MAJUNGU YA JK MATATIZO
 
Back
Top Bottom