Huyu jamaa ni mwanasiasa mkongwe sana na kama ni pesa kwa kazi aliyofanya duniani basi angekuwa nazo za kumwaga mno ukiachilia mbali tu hiyo elimu yake.Lakini we tafuta popote pale huwezi investment ukaambiwa ni yake,sasa yeye aliwekeza wapi?? Kuna siku nasikia Mwl.Nyerere alishawahi kusema zamani kuwa salim alikuwa na mambo machafu sana sasa sijui mashushu wake walimtonya kitu gani?
Au ndugu yetu yeye aliwekeza nje ya nchi yetu?Mimi sijui kitu ila wanajamvi karibuni sana tufahamishane mana kama kuwa na pesa huyu ndiyo angekuwa nguli haswa mana huko njee mshahara wake siyo mas'hala,na kama kweli aliridhika na alichonacho hajafanya ufisadi basi huyu ndiyo anastahili kuwa mfano wa kuigwa na pia anastahili kuwa Rais wetu pia.
Haya wana jamii karibuni sana kuhangia kwa ustaarabu na si kwa jazba wala kukejeliana.