Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo kwenye social media’s kusoma/comments innovation za mchina na magharibigraduate wote walitakiwa waanzishe movement ya kudai ajira kutoka serikalini ila wenyew wapo wanajambajamba tu
Mbona unanikatisha tamaa? Yaani nirudi darasani wakati hiki nilichosomea hata sijaanza kukifaidi? Hii dunia haiko sawa kabisaKimbia kajifunze ufundi wa ku-design gypsum boards, tv show case outlook, outlook ya kisasa ya maduka na interior design nyingine kwa pamoja.
Kimbia kajifunze mji ulivyo, zunguka utafute nyumba, acha vipeperushi vya namba yako kuwa wewe ni dalali, kaa kitaa na wana upate dili za viwanja na vyumba, then fungua ka-ofisi mshenzi ka udalali, ukiwashirikisha na wana wengine waaminifu.
Ingia kitaa tafuta shuguli zinazofanyika, wape offer ya kuwa MC wa shughuli yao bure bila kukulipa chochote, graduation za la saba, form 4, we fanya bure , huku mwisho wa sherehe gawa vipeperushi vya namba yako na jina lako, jitangaze katika sherehe hio, then ndani ya mwaka miaka miwili ushakuwa MC wa kulipwa.
Tofauti na hapo utampelekea sana shemeji yako maji ya kuoga
Bora umshauri maana asije akapewa mic akaanza kusema Tunamshukuru sana mama. Ataleta taharukihiyo ya MC mdogo angu ana kigugumizi sitamshauri
🤣🤣🤣 introvert hajisemi!Siku hizi kila mtu utasikia "Am 100% introvert labda nikuzoee"
Hivyo ulivyoandika hapo hawa introvert washakiwekea doubt kichwani
Wamekuwa wadangaji professionalgraduate wote walitakiwa waanzishe movement ya kudai ajira kutoka serikalini ila wenyew wapo wanajambajamba tu
Graduate wa tz wanabagazwa sana. Ebu ona huyu la saba B anawaona wanajambajamba tuu.graduate wote walitakiwa waanzishe movement ya kudai ajira kutoka serikalini ila wenyew wapo wanajambajamba tu
Hujakutana nao mzee?🤣🤣🤣 introvert hajisemi!
Kulima bila Pembejeo? Wee kuweza?Kuna ile comment inasema Uvivu tu wakulima vipi hapa inaweza kutumika?
Hamna kazi hapoKimbia kajifunze ufundi wa ku-design gypsum boards, tv show case outlook, outlook ya kisasa ya maduka na interior design nyingine kwa pamoja.
Kimbia kajifunze mji ulivyo, zunguka utafute nyumba, acha vipeperushi vya namba yako kuwa wewe ni dalali, kaa kitaa na wana upate dili za viwanja na vyumba, then fungua ka-ofisi mshenzi ka udalali, ukiwashirikisha na wana wengine waaminifu.
Ingia kitaa tafuta shuguli zinazofanyika, wape offer ya kuwa MC wa shughuli yao bure bila kukulipa chochote, graduation za la saba, form 4, we fanya bure , huku mwisho wa sherehe gawa vipeperushi vya namba yako na jina lako, jitangaze katika sherehe hio, then ndani ya mwaka miaka miwili ushakuwa MC wa kulipwa.
Tofauti na hapo utampelekea sana shemeji yako maji ya kuoga
Tatizo tunajifungia sana mijini na hatutaki kutoka na kwenda kutafuta. Ila hii nchi ina fursa kila sehemu. Watu tunakuwaje na ardhi alafu tukose chakufanya kweliii?.Hali imebadilika sio kama zamani graduate walikuwa ni wachache na hawatoshi kuajiriwa. Siku hizi graduete ni wengi. Siku hizi ukisoma usitegemee kuajiriwa tu unatakiwa usome vitu hata nje ya masomo rasmi. Unasoma uchumi, sheria, udaktari, ualimu na kozi zingine lakini pia ni bora ukajifunza mambo mengine ya ujuzi hata kama hayako kwenye mfumo rasmi ili uki graduate usika idol huna shughuli ya kufanya. Graduate hutakiwi kukosa shughuli za kufanya, ziko nyingi na hazina gharama za kujifunza
Duuh inasikitishaNapata shaka na elimu ufunguo wa maisha.Classmate wako aliishia la saba kisha akajichanganya mtaani hivi sasa ni nguli wa fani fulani.Sasa graduate ndiyo unaingia chimbo,huoni kwamba ulitapeliwa pesa kwa kupewa makaratasi yasiyokunufaisha?