KAMA NI WEWE UNGEFANYAJE?

KAMA NI WEWE UNGEFANYAJE?

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,963
Reaction score
3,685
IMETOKEA HIVI"

wewe umehukumiwa kifungo cha maisha: mkeo amebaki uraiani, umetumikia miaka 2 katika kifungo ulichohukumiwa, juhudi zote za kutoka zimeshindikana na umeshakata tamaa, mara mkeo akajitahidi kukutoa na akafanikiwa, ulivyorudi nyumbani ukamkuta ana katoto ka miezi 5, ulipouliza kulikoni? anakujibu kwa "upole" mume wangu kama sio kutembea na "JAJI" ungefia gerezani, niliamua kumpa "jaji" ili utoke! swali" utampenda zaidi mkeo au utamfukuza? Nisaidie kutuma angalau kwa wanaume wa 5 Na kwa wanawake 5 jibu lipatikane linasubiriwa kwa hamu!!
1. Utamtupa Mke wako
2. Utasema Asante Mke wangu
3. Utapigana na Jaji
4. Utasema Asante Jaji

Sema usikike.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joseverest nisamehe tu kaka si kwa mapendo yangu ila imenibidi nikushikie nafasi tu
 
The harm principle and the greatest for happiness principle.
The creed which accepts as the foundation of morals Utility, or the Greatest Happiness Principle, holds that actions are right in proportion as they tend to promote happiness, wrong as they tend to produce the reverse of happiness
 
ndio japo inauma...kwa hiyo bora urudi jela
Sijasema nirudi jela, as nimeshatoka.
Nitamshukuru kwa alilofanya.
But to be free indeed, we should be separated....
Umenisoma mkuu?
Akaishi na jaji mimi nitatafuta pia wa kuishi nae...
Yaani una create sphere nyingine ya maishA hapo....
kuishi na mtoto wa jaji....mhhh... Hapo umejiingiza jela nyingine kabisa
 
Sijasema nirudi jela, as nimeshatoka.
Nitamshukuru kwa alilofanya.
But to be free indeed, we should be separated....
Umenisoma mkuu?
Akaishi na jaji mimi nitatafuta pia wa kuishi nae...
Yaani una create sphere nyingine ya maishA hapo....
kuishi na mtoto wa jaji....mhhh... Hapo umejiingiza jela nyingine kabisa
ahahaha kwa hiyo fadhila yako unamlipa kwa kumuacha?
 
Kila nikiandika najikuta nafuta. Any way, acha niwaulize.

Hivi mnakijua kifungo cha maisha nyie?

By the way, it's the end that justifies the means!


Deuces



- KANA -
 
Kwanza nitamshukuru mke wangu kwa juhudi zake za kuhakikisha mimi natoka jela, pili huyo mtoto siwezi kumuhukumu kwa kuwa yeye ni malaika hajui chochote, nitakachofanya ni kumtaifisha kwa kumpa jina la langu na ubini wangu (Nitamfanya kuwa mwanangu kwa kuwa amezaliwa na mke wangu tena ndani ya ndoa) na mke wangu siwezi kumlaumu kwa kuwa chanzo cha uzinifu wake ni mimi (Ananipenda hivyo hakutaka nifie huko).

Kuhusu Jaji nitachukunguza kama wanaendeleza mahusiano (mawasiliano) na nitamshauri mke wangu (nitahakikisha) anakomesha mahusiano na huyo jaji. ikishindikana nitamtumia wazee wamueleze (Jaji) aachane na mke wangu endapo ataendelea kukaidi basi kifo kinamuita.

Ndugu zangu jela (bila kujali aina ya kifungo) isikie tu kwa watu usiombe kuwa mfungwa ni balaa. NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA.
 
Binafsi ntawapenda wote mke na mtoto huyo wa jaji kwa moyo mmoja. Utu unayo thamani kubwa sana na kitu hicho amefanya mke ni zaidi ya utu.
 
Unakubali tu mbona wengi tu wanagongewa wako uraiani tena wakiwa na hali nzuri kiuchumi ! Kuna kipindi beatch boys wa coco nasikia walikuwa wanawatia wake za watu kwa kigezo cha kuwafundisha kuogelea.
 
Actually jaji yupo above the law
Lazima nitamfunglia kes ya jaji
Sasa hapo mke na jaji watawajibika kwa kesi ya rushwa ya ngono ......kwa lugha nyingine takukuru itawahus
Nawasilisha

mr town mouse ....click...click. the city
 
Mi namshukuru Mungu nimetoka,ila ayo mengine ntayafungulia file jipya,...
 
Back
Top Bottom