Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,963
- 3,685
IMETOKEA HIVI"
wewe umehukumiwa kifungo cha maisha: mkeo amebaki uraiani, umetumikia miaka 2 katika kifungo ulichohukumiwa, juhudi zote za kutoka zimeshindikana na umeshakata tamaa, mara mkeo akajitahidi kukutoa na akafanikiwa, ulivyorudi nyumbani ukamkuta ana katoto ka miezi 5, ulipouliza kulikoni? anakujibu kwa "upole" mume wangu kama sio kutembea na "JAJI" ungefia gerezani, niliamua kumpa "jaji" ili utoke! swali" utampenda zaidi mkeo au utamfukuza? Nisaidie kutuma angalau kwa wanaume wa 5 Na kwa wanawake 5 jibu lipatikane linasubiriwa kwa hamu!!
1. Utamtupa Mke wako
2. Utasema Asante Mke wangu
3. Utapigana na Jaji
4. Utasema Asante Jaji
Sema usikike.....
Sent using Jamii Forums mobile app