Nyanda Banka JF-Expert Member Joined Mar 14, 2023 Posts 304 Reaction score 1,054 Jun 12, 2024 #1 Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa wakiwa kitandani akamuuliza mkewe "Una uhakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?" Mke akajibu "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli tu mpaka asubuhi". Bwana harusi kazimia
Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa wakiwa kitandani akamuuliza mkewe "Una uhakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?" Mke akajibu "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli tu mpaka asubuhi". Bwana harusi kazimia
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Jun 12, 2024 #2 Nyashi halijawahi kufeli naona apo kamanda analitumia kupimia shabaha😁😁
D Dume Jembe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2024 Posts 333 Reaction score 411 Jun 12, 2024 #3 Litakuwa jini siyo mtu
Nyanda Banka JF-Expert Member Joined Mar 14, 2023 Posts 304 Reaction score 1,054 Jun 12, 2024 Thread starter #4 min -me said: Nyashi halijawahi kufeli naona apo kamanda analitumia kupimia shabaha😁😁 Click to expand... Uhakika
min -me said: Nyashi halijawahi kufeli naona apo kamanda analitumia kupimia shabaha😁😁 Click to expand... Uhakika
Mbogo Jr Member Joined Jun 6, 2024 Posts 25 Reaction score 39 Jun 12, 2024 #5 Kuna Wengne Wana Big Nyashi Za Kulengea Shabaha
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jun 12, 2024 #6 Kwamba mumewe kazi haiwezi
geesten66 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2017 Posts 2,042 Reaction score 2,370 Jun 12, 2024 #7 Demu mwenyewe ndiyo uyo Alie bong'oa hapo na uyo kamanda ndiyo mume mwenyewe au.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,099 Reaction score 25,347 Jun 12, 2024 #8 Kwani jamaa aliona bikra ya mkewe huyo kabla hajamuuliza hilo swali?!