Kama ni wewe utafanyaje

Kama ni wewe utafanyaje

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa wakiwa kitandani akamuuliza mkewe

"Una uhakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?"

Mke akajibu "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli tu mpaka asubuhi".

Bwana harusi kazimia
FB_IMG_17178639428035732.jpg
 
Back
Top Bottom