Kama nikisema Rais Samia ana NEPOTISM, nitakuwa nakosea?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Je, Samia ana tofauti yoyote na Paul Biya aliyemteuwa mwanae kuwa makamu wa rais?

Au Museveni mtoto wake mkuu wa majeshi mama waziri wa Elimu. Na hawa ni madikteta je Samia ana tofauti na hawa?

Je Samia Hana undugunaizesheni kama mtoto waziri mkwe waziri je huu sio upendeleo wa kindugu?
 
Watu wa pwqni wanakosea sehem moja tu! Wqnawapa ndugu wa karibu zaidi ambao watu wote wanawajua. Hilo ndo kosa kubwa wanalofanya. Kuna watu nawajua wasukuma wamejazan katika kitivo kimoja kina mamlaka makubwa tu hapa nchini

Jina lao ni Lu##la, kuna watu wako TCRA ukoo wao unaitwa Mu##I
 
Je, Samia ana tofauti yoyote na Paul Biya aliyemteuwa mwanae kuwa makamu wa rais?

Au Museveni mtoto wake mkuu wa majeshi mama waziri wa Elimu. Na hawa ni madikteta je Samia ana tofauti na hawa?

Je Samia Hana undugunaizesheni kama mtoto waziri mkwe waziri je huu sio upendeleo wa kindugu?
Rafiki wa mkwe nae kalamba Ukatibu Mkuu.
 
Samia kashikiliwa akili na JK, mauaji yote haya na ushenzi wote huu na utekqji na ufisadi unaondelea ni mazao ya JK. Kiziga mwizi kuwa Mbunge ni hayo hayo

Tulifanya kosa kubwa sana 2005 kumpa Mkwere nchi, hawa watu ni wa majungu majungu, ni jamii ya watu maskini na mafukara wa kutupwa wasio na heshima.
Huyu huyu ndiyo alitunyima KATIBA ya nchi dk ya 90, huyu mzee hafai hafai kupata heshima yoyote katika nchi yetu.
 
Je, Samia ana tofauti yoyote na Paul Biya aliyemteuwa mwanae kuwa makamu wa rais?
Hakuna tofauti na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?
Au Museveni mtoto wake mkuu wa majeshi mama waziri wa Elimu. Na je Samia ana tofauti na hawa?
Hana tofauti na hao, na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?
Je Samia Hana undugunaizesheni kama mtoto waziri mkwe waziri je huu sio upendeleo wa kindugu?
Not necessarily ni upendeleo wa undugunaizesheni, as long as wana sifa na wanakidhi vigezo, sio kosa kwa rais kumteua mkewe, mumewe, mtoto, rafiki au ndugu yake yoyote nafasi yoyote, au ulitaka amteue nani?.
Charity begins at home!. Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
P
 
Hakuna tofauti na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?

Hana tofauti na hao, na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?

Not necessarily ni upendeleo wa undugunaizesheni, as long as wana sifa na wanakidhi vigezo, sio kosa kwa rais kumteua mkewe, mumewe, mtoto, rafiki au ndugu yake yoyote nafasi yoyote, au ulitaka amteue nani?.
Charity begins at home!. Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
P
Amekosa kuwapa asali wale chawa wa ccm waliokuwa wanaimba iyena iyena
 
Hakuna tofauti na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?

Hana tofauti na hao, na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?

Not necessarily ni upendeleo wa undugunaizesheni, as long as wana sifa na wanakidhi vigezo, sio kosa kwa rais kumteua mkewe, mumewe, mtoto, rafiki au ndugu yake yoyote nafasi yoyote, au ulitaka amteue nani?.
Charity begins at home!. Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
P
Hawana sifa sasa, hv mkuu umeiona cv ya Wanu??
Ni nyepesi mnoo wako maelfu ya watz wamemzidi hata mulemule ndani bungeni ila wenyewe hawajaonwa isipokuwa Wanu!!.
 
Je, Samia ana tofauti yoyote na Paul Biya aliyemteuwa mwanae kuwa makamu wa rais?

Au Museveni mtoto wake mkuu wa majeshi mama waziri wa Elimu. Na hawa ni madikteta je Samia ana tofauti na hawa?

Je Samia Hana undugunaizesheni kama mtoto waziri mkwe waziri je huu sio upendeleo wa kindugu?
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Hawana sifa sasa, hv mkuu umeiona cv ya Wanu??
Ni nyepesi mnoo wako maelfu ya watz wamemzidi hata mulemule ndani bungeni ila wenyewe hawajaonwa isipokuwa Wanu!!.
Eti wanu anasimamia Elimu ya taifa (Tanganyika) hivi hii sio sabotage kweli ya Elimu ya WATOTO wetu? Angechaguliwa N/waziri hata huko Zanzibar sawa lakini sio Tanganyika.
 
Hawana sifa sasa, hv mkuu umeiona cv ya Wanu??
Ni nyepesi mnoo wako maelfu ya watz wamemzidi hata mulemule ndani bungeni ila wenyewe hawajaonwa isipokuwa Wanu!!.
Kuna aina mbili za teuzi za rais,
1. teuzi za nafasi za kiutendaji, yaani executive positions, hizi ndizo zinazohitaji mteuliwa kuwa na merits, wakuu wa taasisi au watendaji mbalimbali rais atashauriwa halafu anafanyiwa verting anateuliwa.
2. teuzi za political, wabunge, mawaziri, wenyeviti wa bodi, ma RC na ma DC, na mabalozi, teuzi hizi hufanywa at the pleasure of the president, rais anaweza kumteua yeyote, kwa sababu yeyote au bila sababu yeyote, na kumtumbua yeyote kwa sababu yeyote au bila sababu yeyote, na hakuna mamlaka yeyote inaruhusiwa kuhoji teuzi hizi!. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Hata huyu bi dada aliyeteuliwa ubunge hapa juzi kati, anakwenda. kuteuliwa waziri, na ndie mbunge wa Kawe, 2030!.

P.
 
Hakuna tofauti na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?

Hana tofauti na hao, na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?

Not necessarily ni upendeleo wa undugunaizesheni, as long as wana sifa na wanakidhi vigezo, sio kosa kwa rais kumteua mkewe, mumewe, mtoto, rafiki au ndugu yake yoyote nafasi yoyote, au ulitaka amteue nani?.
Charity begins at home!. Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
P
Kwa nchi yenye watu 63+ Millions mkuu?
 
Je, Samia ana tofauti yoyote na Paul Biya aliyemteuwa mwanae kuwa makamu wa rais?

Au Museveni mtoto wake mkuu wa majeshi mama waziri wa Elimu. Na hawa ni madikteta je Samia ana tofauti na hawa?

Je Samia Hana undugunaizesheni kama mtoto waziri mkwe waziri je huu sio upendeleo wa kindugu?
She is by far worse than Poul Biya and Museveni combined, hao wamefanya nepotism baada ya kutawala kwa miaka na kujiamini nchi wanazozitawala na wananchi wanaowatawala vipo viganjani mwao. Mifumo wameitengeneza, wameikuza na wanaitawala whilst Samia akiwa bado mgeni ameshaota mapembe, ameshaota makucha na hasikii la mtu yoyote, anaamini katika timu ya chawa inayopokea makombo kutoka wa Abdul ambao wengi wao pia wako humu JF kwamba ni kinga ya kumsafisha kwenye public na kumsafishia mauchafu ya uuzwaji wa mali/rasilimali za Tanganyika huku akitumia magenge ya wahuni na wauaji akina Mafwele and those serial killers from Zanzibar.
Hapo pia amezungukwa na bwana zake ambao anaamini they'll fight tooth and nail kuhakikisha analindwa. Just imagine scandalous devil kama Angela Kizigha with all the allegations lakini kiburi cha Samia kamteua tu hivyohivyo, hapa huyu Samia ni future(currently current) Bokassa + Idd Amini combined.
 
Back
Top Bottom