Rafiki wa mkwe nae kalamba Ukatibu Mkuu.Je, Samia ana tofauti yoyote na Paul Biya aliyemteuwa mwanae kuwa makamu wa rais?
Au Museveni mtoto wake mkuu wa majeshi mama waziri wa Elimu. Na hawa ni madikteta je Samia ana tofauti na hawa?
Je Samia Hana undugunaizesheni kama mtoto waziri mkwe waziri je huu sio upendeleo wa kindugu?
Hakuna tofauti na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?Je, Samia ana tofauti yoyote na Paul Biya aliyemteuwa mwanae kuwa makamu wa rais?
Hana tofauti na hao, na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?Au Museveni mtoto wake mkuu wa majeshi mama waziri wa Elimu. Na je Samia ana tofauti na hawa?
Not necessarily ni upendeleo wa undugunaizesheni, as long as wana sifa na wanakidhi vigezo, sio kosa kwa rais kumteua mkewe, mumewe, mtoto, rafiki au ndugu yake yoyote nafasi yoyote, au ulitaka amteue nani?.Je Samia Hana undugunaizesheni kama mtoto waziri mkwe waziri je huu sio upendeleo wa kindugu?
Amekosa kuwapa asali wale chawa wa ccm waliokuwa wanaimba iyena iyenaHakuna tofauti na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?
Hana tofauti na hao, na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?
Not necessarily ni upendeleo wa undugunaizesheni, as long as wana sifa na wanakidhi vigezo, sio kosa kwa rais kumteua mkewe, mumewe, mtoto, rafiki au ndugu yake yoyote nafasi yoyote, au ulitaka amteue nani?.
Charity begins at home!. Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
P
Hawana sifa sasa, hv mkuu umeiona cv ya Wanu??Hakuna tofauti na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?
Hana tofauti na hao, na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?
Not necessarily ni upendeleo wa undugunaizesheni, as long as wana sifa na wanakidhi vigezo, sio kosa kwa rais kumteua mkewe, mumewe, mtoto, rafiki au ndugu yake yoyote nafasi yoyote, au ulitaka amteue nani?.
Charity begins at home!. Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
P
Je, Samia ana tofauti yoyote na Paul Biya aliyemteuwa mwanae kuwa makamu wa rais?
Au Museveni mtoto wake mkuu wa majeshi mama waziri wa Elimu. Na hawa ni madikteta je Samia ana tofauti na hawa?
Je Samia Hana undugunaizesheni kama mtoto waziri mkwe waziri je huu sio upendeleo wa kindugu?
Eti wanu anasimamia Elimu ya taifa (Tanganyika) hivi hii sio sabotage kweli ya Elimu ya WATOTO wetu? Angechaguliwa N/waziri hata huko Zanzibar sawa lakini sio Tanganyika.Hawana sifa sasa, hv mkuu umeiona cv ya Wanu??
Ni nyepesi mnoo wako maelfu ya watz wamemzidi hata mulemule ndani bungeni ila wenyewe hawajaonwa isipokuwa Wanu!!.
Kuna aina mbili za teuzi za rais,Hawana sifa sasa, hv mkuu umeiona cv ya Wanu??
Ni nyepesi mnoo wako maelfu ya watz wamemzidi hata mulemule ndani bungeni ila wenyewe hawajaonwa isipokuwa Wanu!!.
Africa yalikua mashamba ya wazungu
Kwa nchi yenye watu 63+ Millions mkuu?Hakuna tofauti na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?
Hana tofauti na hao, na hakuna kosa lolote au tatizo lolote, kama ana sifa na anakidhi vigezo, why not?
Not necessarily ni upendeleo wa undugunaizesheni, as long as wana sifa na wanakidhi vigezo, sio kosa kwa rais kumteua mkewe, mumewe, mtoto, rafiki au ndugu yake yoyote nafasi yoyote, au ulitaka amteue nani?.
Charity begins at home!. Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
P
She is by far worse than Poul Biya and Museveni combined, hao wamefanya nepotism baada ya kutawala kwa miaka na kujiamini nchi wanazozitawala na wananchi wanaowatawala vipo viganjani mwao. Mifumo wameitengeneza, wameikuza na wanaitawala whilst Samia akiwa bado mgeni ameshaota mapembe, ameshaota makucha na hasikii la mtu yoyote, anaamini katika timu ya chawa inayopokea makombo kutoka wa Abdul ambao wengi wao pia wako humu JF kwamba ni kinga ya kumsafisha kwenye public na kumsafishia mauchafu ya uuzwaji wa mali/rasilimali za Tanganyika huku akitumia magenge ya wahuni na wauaji akina Mafwele and those serial killers from Zanzibar.Je, Samia ana tofauti yoyote na Paul Biya aliyemteuwa mwanae kuwa makamu wa rais?