Yule Carrick mnamfukuza lini?Sema simba ina nipa raha ,tofauti na hapa ungekuta nilisha pata fangasi kwa kufuga vuzi kwa stress za manjesta.
kwani ukiwa simba kuna tatizo gani kuingia kwa kili lager???Hahah nipo simba nakula maisha tu😅
Yule jamaa hataki kuachia timu,maana anapata faida, mashabik wanapaga msongo wa mawazo..!!Aisee haya mazungu wawaachie waarabu shughuli
karibu kwenye ulimwengu wa raha mdogo wanguHahaha pombe nakula kama kawa 😅 nipa na aniseti aura mpaka bia zininyongee kitandani😅
hiyo bia yako kinywaji chako kisindikize na phenemone ya mbilia bell
Nakupa hii papaa bhoneur ya Cindy japo nimelewa naweza kukosea spell inisikilize na Tresor Mandala popote alipo mwambie haya maisha tu!!Atajua Rhumba huyo millennial. Anapenda singeli huyu. 😊
Hahaha kaa rada tu kukosea kupo, wewe ni mtu wa tungi unawaza nini? 😅Nakupa hii papaa bhoneur ya Cindy japo nimelewa naweza kukosea spell inisikilize na Tresor Mandala popote alipo mwambie haya maisha tu!!
Halafu kaa njemba isikilize papaa plusHahaha kaa rada tu kukosea kupo, wewe ni mtu wa tungi unawaza nini? 😅