Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Una moyo tepetevu wewe!Kaza roho mwanangu.Mimi siiachi hadi nihakikishe inanitoa roho.Kujiita manjesta hii ya wapinga nyeto ni kosa langu la kwanza hapa jf , kwa kweli naomba nisamehewe sana🙏
Hii timu ina wazungu pori na matapeli kwa sasa , nimejitoa rasmi manjesta , hii nguvu nawekeza simba tu , mpaka manjesta atapata tajiri anae jielewa nitarudi🙏
Upo sahihi ila hauna la kufanya zaidi ya kuendelea kula maumivu. Kula chuma hichoManjesta ina ubovu wa ndani mno, mashabiki tunapewa matumaini hewa tu
Nikipata wajukuu fresh waende na princesss of Monaco ya kofii.Wagonga ulimbo wa jf nyie na raraa reree mtuletee , wajukuu humu madam( jokes)😅
Wachezaji wakisema bodi ya klabu ni mbovu,wanawalazimisha waombe msamaha.Kwa hali ilivyo sidhani kama tutafika nae weekend ijayo.
Mimi sina hela wala pesa... wewe nipe chimbo la hela nikadangeInaonekana ana hela na mtu wa kujipenda sana mkuu. 😊
Kuimba kupokezana bwashee.Tulisumbua sana kwa zama zetu hadi ilifikia tulichukiwa mnoo,kisa kubeba ndoo kama zote.Waache mashabiki wachanga wa Arse8 na Maziti wafurahi.Simba inanipa raha bwashee , yani nabembea tu😅
Mahaba yanaanzia na kujipenda ndio upendwe. ni mule mule tu😅😅😅 Monaco jiji la mahaba ujue😅
Mimi sina hela wala pesa... wewe nipe chimbo la hela nikadange
Na bado, baadaye Madrid anadinywa tena ile kiroho mbaya.
Sina hakika halafu raraa reree inasemekana ni boss mkubwa!!! nichukue basi wangu niache kudanga ovyoAah sio kweli! We utakuwa una hela, mtu wa kula bata viwanja vikali. 😊
Au raraa reree unasemaje mkuu?
Sina hakika halafu raraa reree inasemekana ni boss mkubwa!!! nichukue basi wangu niache kudanga ovyo
SIelewi hata maana ni kitambo sana na sina mawasiliano nae nje ya jfMwenetu intelligent kapotea wapi Bwashee?
Futa hii comment yako, mkuu. Utaumbuka.Wapi? Barca anapigwa cha mbuzi..