Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda mwingi nakua kazini, kufanya biashara inaniwia vigumuinvest kwenye biashara nyingine yoyote, jaribu biashara mbalimbali kwa kadi uwezayo. Zipo zitakazo kupatia hasara na zipo zitakazokupatia faida. mwishowe utajuwa ni biasharagani uendelee nayoView attachment 1206892
Kazi ipo wapi hapa mama?
Maisha ni hatua. Anaanza taratibu na yeye atafika tu mkuu. Huwezi jua yupo katika hali gani kwa sasa.Panua mawazo utakufa maskini sana kusave 80,000 kwa mwezi mmhhh
Heri yako wewe utakayekufa tajiriPanua mawazo utakufa maskini sana kusave 80,000 kwa mwezi mmhhh