Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abubakar Shariff (Makaburi) na Aboud Logo walikuwa watu wenye elimu kubwa ya kidini hasa ufasaha katika kur ani, kwa hilo tu Allah awalipe insha allah, lakini jambo moja walilonishangaza ni kule kuwatetea kundi la vijana wa alshababi kwa kile walicho kiita eti JIHAD.
Hakuna jihad inayopiganwa kwa karne hii, hasa hao vijana wa alshababi kuua watu wasio na hatia hata kidogo, kuua watoto wadogo kwa aya zipi za kur ani.
Maelezo ya Nabii Muhammad (S.A.W) alishasema jihadi ndogo imekwisha duniani na kwa sasa imebaki jihadi kubwa, watu wakamuuliza ipi hiyo jihad ndogo na ipi hiyo jihad kubwa? Akajibu jihad ndogo ndio hiyo ya kupigana kwa upanga(vita) na jihad kubwa iliyobaki ni jihad ya nafsi ya mtu dhidi ya maasi ya ulimwengu, vipi mtu atajizuia na yale yaliyokatazwa Eg, ulevi, uzinzi, uasherati, ushirikina, wizi nk. Sasa leo akina Logo na Makaburi wanatumia elimu zao kuwatetea alshababi, 'wonderful'
huyo ni mwenyezi mungu ,muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na vile visivyoonekana,na ni muweza wa kila kituHilo neno (bold) ndio nini? Ndio kwanza naliona hivyo sijaelewa unazungumzia nini.
hata mandela walimwita shujaa vile vile hata yesu walimwona gaidi lakini hii leo wewe ndio shujaa wako,ndio ilivyo tafsiri ya neno gaidi hutegemea na matakwa ya mtumizi,hata hivyo kila mtu utapofika mda wake atapigana kwa nafasi yake,pia kujificha ndio mbinu za vita.Yaap all terrorist will be wiped out. Kama hamuogopi kwanini mnajificha kama cowards? Why don't you man up and fight in the cause of a diabolical demigoddess Allat? Come out of the hyena holes and fight, what are you waiting for?
hakuna jihad ya kupigana na waislamu wenzio, aliekwambia alshababi wanapigana jihadi ni nani? ninachopinga mimi ni hicho wanachoita jihadi wakati ni uhuni mtupu.....ikitokea alshababi wanawapiga maadui zao tu hiyo ni jihad lakini kuuwa watu wengine hata maswala ya dini hawayajui huo ni ukafiripole sana ungekuwa na ilim ya diini,inshaallah ungeelewa nini mashekh hawa walichokuwa wanafanya,hata hivyo hueliwi kwamba allah,ametuamrisha tusidhurumu wala tusikubali kudhurumiwa na ametupa amri ya kupigana pale ambapo tumedhurumiwa na tukifa katika kudai haki yetu basi malipo yake tutayakuta kwake yeye allah(.s.w)na muislamu mkakamavu anapendeza zaidi kwa m'mungu kuliko yule goigoi,na hawatohudhunika waliokufa katika njia ya m,mungu(jihad),jihad haiwezi kufa mpaka mwisho wa dunia,kama huelewi uliza ,usitoe fa'twa kwa usilolijua,usije ukawa kafir.
Jihad ipo lakini sio hii ya akina alshababi inayoua watoto kwa kuwatandika risasi vichwani.Hivi unamaanisha Jihaad ya Qitaal unamaanisha hakuna tena? Kama wewe muislamu kuwa makini siku nyingine unapozungumza mambo ya dini.
Kama ungeufahamu vizuri uislamu basi usingezungumza kasome vizuri surat tawba kisha useme jihad ipo au hamna
Hivi unamaanisha Jihaad ya Qitaal unamaanisha hakuna tena? Kama wewe muislamu kuwa makini siku nyingine unapozungumza mambo ya dini.
Siungi Mkono mauaji ya Mtu yoyote bila ya kufuata misingi ya Sheria.
Kama leo tutaunga Mkono mauaji yake kwa kuwa tu ni Mshukiwa wa Ugaidi basi kesho tutakuwa Wanafiki ikitokea Al shabab nao wataua Watu wanaowashuku kuuwa ndugu zao.
Lazima tuepuke Double Standard kwa kukemea Mauaji dhidi ya watu wasio na Hatia wakiwemo wanaushukiwa ni magaidi kwa kuwa bado hawajawa Convicted na Mahakama za Nchi husika.
Hilo neno (bold) ndio nini? Ndio kwanza naliona hivyo sijaelewa unazungumzia nini.
huyo ni mwenyezi mungu ,muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na vile visivyoonekana,na ni muweza wa kila kitu
Mahubiri ya kuua watu sio mazuri kabisa kwenye jamii
vitani huwa hawaendi wote dogo,mimi sio goigoi dogo.
unashabikia umejificha nyuma ya fakename hapo nyumbani kwako, toka nenda front line kama wewe siyo goigoi! dini zote ni ujinga wa mwanadamu.
ndo nasema tahadhari na ulimi wako usije ukawa kafir kwa kukata aya za qur'an,hivi wewe unawajua maadui wa al shaabab?chanzo cha vururugu za al shaabab unazijua,?kama hujui aya si vibaya kuuliza,ila tumeamrishwa kupigana jihadi kwa mali' zetu na nafsi ,jihadi ipo na ndio maana tuna sharia na sharia inatuhusu sisi tulioamini(waislamu)na hapo ndipo penye jihad ,pia inaruhusiwa kuwapiga jihad waislam wanafiki,ila pia nahisi kama vile tafsiri ya jihad huelewi vizuri!!?hakuna jihad ya kupigana na waislamu wenzio, aliekwambia alshababi wanapigana jihadi ni nani? ninachopinga mimi ni hicho wanachoita jihadi wakati ni uhuni mtupu.....ikitokea alshababi wanawapiga maadui zao tu hiyo ni jihad lakini kuuwa watu wengine hata maswala ya dini hawayajui huo ni ukafiri
hatutumii nguvu nyingi ila sisi hatuogopi kufa kwa ajiri ya mambo ya dini sasa nadini sisi ndo muongozo wetu,hivyo vikifanyika vitendo vya kuidharau au kuidharirisha dini yetu hapo ndipo tunapokuwa wakali na sisi si mnajua hatuogope kufa kwa ajiri ya mambo uadini!?na tumeambiwa tusidhurumu wala tusikubali kudhurumiwa.na tumeruhusiwa pia kulipa kisasi kwa yule aliekuonea.