Kama ningekuwa na simu…………………

Kama ningekuwa na simu…………………

umenikumbusha machungu

nilimnunulia mtu blackberry
sina hamu.......

mwanamke akisema sina simu,mwambie tu ukinunua tutawasiliana lol
Hahahaha! Nimeipenda hiyo ya "ukinunua tutawasiliana"..lol.. Hufai walah tena khaaa!
 
always wanaume wanawafikiria wanawake negative.haya umenunua simu unataka kwenye kontakt uwe wewe tu?inawezekana kwa ulimwengu huu?tatizo lenu ni kwamba akiongea na simu ukasikia sauti ya kiume,hawara sijui kibustan...sio hivyo guys.toeni mawazo hayo na sio kila utakae mnunulia simu anapenda mahawara au sim hiyo anawasiliana na hawara jaman....kwa stili hiyo mtaendelea kuishi kwa kukariri.
 
Mi nataka nyumba bana na iwe kwenye
Jina langu.. simu tu khaaa haitoshi..
 
wana shida wasichana wa siku hz, inaonekana kila kitu wanaume wana majibu yake
 
hahahahhhah mpaka huwa najiuliza hawa wadada wachunaji wanachuna nini...manyoya, maana kama wachunwaji ndo hawa kazi ipo
sasa hivi kila kijana amekaa na machale, na kumpa tu zawadi mpenzi anaogopa kuonekana buzi hata kama anayo nafasi ya kumspoil mwanamke wake na mapochopocho, kazi mnayo shosti
 
Back
Top Bottom