yaaani we acha tu.....mi hata siko huko kwenye kuchuna.....kijiji nilicho nkikaa vibaya nachunwa mie hahahahaaha!sasa hivi kila kijana amekaa na machale, na kumpa tu zawadi mpenzi anaogopa kuonekana buzi hata kama anayo nafasi ya kumspoil mwanamke wake na mapochopocho, kazi mnayo shosti