Kama ningekuwa na simu…………………

Kama ningekuwa na simu…………………

sasa hivi kila kijana amekaa na machale, na kumpa tu zawadi mpenzi anaogopa kuonekana buzi hata kama anayo nafasi ya kumspoil mwanamke wake na mapochopocho, kazi mnayo shosti
yaaani we acha tu.....mi hata siko huko kwenye kuchuna.....kijiji nilicho nkikaa vibaya nachunwa mie hahahahaaha!
 
Kama ukihitaji mzigo anakulete sidhani kama kuna haja ya kuwasiliana nae mara kwa mara.
 
cha maana hapa ni kanunua simu kampa demu walipoachana kampokonya
 
always wanaume wanawafikiria wanawake negative.haya umenunua simu unataka kwenye kontakt uwe wewe tu?inawezekana kwa ulimwengu huu?tatizo lenu ni kwamba akiongea na simu ukasikia sauti ya kiume,hawara sijui kibustan...sio hivyo guys.toeni mawazo hayo na sio kila utakae mnunulia simu anapenda mahawara au sim hiyo anawasiliana na hawara jaman....kwa stili hiyo mtaendelea kuishi kwa kukariri.

Longa mwanakwetu.....................
 
na ukinunua simu itakuja ya 'kama ningekua na bb,tungeweza kuchat fb bila gharama'
ila mkinunuliwa nyie mnaona sawa tu!mkinunulia mwanamke mmechunwa?
 
na ukinunua simu itakuja ya 'kama ningekua na bb,tungeweza kuchat fb bila gharama'
ila mkinunuliwa nyie mnaona sawa tu!mkinunulia mwanamke mmechunwa?

ha ha ha ha aaaaa............ hayo ya BB yameniacha hoi
 
Inaelezwa kwamba wanawake wa mjini ambao hawana simu, wanapoanzisha uhusiano na mwanaume ambaye ana simu, kauli ya, ‘kama ningekuwa na simu ingekuwa vizuri sana,' hujitokeza.

kama shida ni mawasiliano tu mtafutie fasta kitu cha promosheni hakizidi elfu 20
 
na ukinunua simu itakuja ya 'kama ningekua na bb,tungeweza kuchat fb bila gharama'
ila mkinunuliwa nyie mnaona sawa tu!mkinunulia mwanamke mmechunwa?

hahahaha! Ukishanunuliwa bb utaanza nikipata kivitz tutakuwa tunaonana kila siku. Lol!
Kifupi mahitaji hayaishi.
 
sasa je? kitu cha blackberry kinaboresha mapenzi banaa. unachat na kapicha ka mupenzi kana-pop up unacheka mwenyewe. simu ya tochi hainogi ujue!
ha ha ha ha aaaaa............ hayo ya BB yameniacha hoi

mkwe, umeona eeh? daladala za huku kwetu mabondeni zinaisha saa kumi na mbili. bora aninunulie ka-baby walker. na nikikapata inakuja 'baby,kavitz ukikajaza mafuta full tank unajua ntakuwa free kuzunguka nakuja kuku-kiss gnite ndo naenda home'
baada ya vitz kiwanja baharini .... hadi abaki mfupa!
hahahaha! Ukishanunuliwa bb utaanza nikipata kivitz tutakuwa tunaonana kila siku. Lol!
Kifupi mahitaji hayaishi.
 
umenikumbusha machungu

nilimnunulia mtu blackberry
sina hamu.......

mwanamke akisema sina simu,mwambie tu ukinunua tutawasiliana lol

The Boss wewe ni kifaa. Sasa huyo wa pili akisema umnunulie simu mwambie nakwend
a kumnyang'anya niliyemnunulia blackberry nitarudi baadae. moto wako.
 
Raha ya watu kama hao ni hii hapa, amenunua bb au tochi we kona yako!! umegharimia kwani? Ila sasa ili asikusumbue mara nimenunua tochi umeingia mitini, anza kubeep akipga tu mwambie naomba hela ya matumizi unajua etc. kesho yake beep tena mwambie atume voucher walau ya tsh. 5000.

Wanaume hawapendi kuombwa, hako ka simu ka tochi utakutumia vizuri bila masimango. Na jamaa atajuta kukupata na mchezo umeisha.
 
Back
Top Bottom