Hahahaha! Nimeipenda hiyo ya "ukinunua tutawasiliana"..lol.. Hufai walah tena khaaa!umenikumbusha machungu
nilimnunulia mtu blackberry
sina hamu.......
mwanamke akisema sina simu,mwambie tu ukinunua tutawasiliana lol
Hawara! Demu! Yananiboa hata mimi.
hahahaha! Nimeipenda hiyo ya "ukinunua tutawasiliana"..lol.. Hufai walah tena khaaa!
hahahahaha umenichekesha sana kwa ulichosema...japo hukumalizia nini kimetokea!
khaaaa...kasimu tu unaita kuchunwa,makubwa haya!ulitaka nimalizie ufurahie nilivyo chunwa? Lol
khaaaa...kasimu tu unaita kuchunwa,makubwa haya!
eti embu mwambie kijana huyukhaaaa...kasimu tu unaita kuchunwa,makubwa haya!
Hahaha! Ndio kusema umejifunza kutokana na makosa?..ndo yenyewe hiyo.....kuchunwa fasta fasta siku hizi basi lol
hahaha! Ndio kusema umejifunza kutokana na makosa?..
Lol...afadhali, nilidhani huchuniki kabisa...au nikiamua,siku nyingine huwa tuna hamu ya kuchunwa pia lol
lol...afadhali, nilidhani huchuniki kabisa...
hahahahhhah mpaka huwa najiuliza hawa wadada wachunaji wanachuna nini...manyoya, maana kama wachunwaji ndo hawa kazi ipoeti embu mwambie kijana huyu
Ntake radhi tafadhali... Mimi sio mchunaji....hakuna mwanaume asiechunika....
Kwani we mchunaji mahiri kumbe ?lol
ulishikiwa gobore...udhaifu huo kijana!definition ya kuchunwa ni kuliwa pesa au mali yako kinyume na makubaliano
sio simu tu,hata peni unaweza kuchunwa lol
ulishikiwa gobore...udhaifu huo kijana!
sasa hivi kila kijana amekaa na machale, na kumpa tu zawadi mpenzi anaogopa kuonekana buzi hata kama anayo nafasi ya kumspoil mwanamke wake na mapochopocho, kazi mnayo shostihahahahhhah mpaka huwa najiuliza hawa wadada wachunaji wanachuna nini...manyoya, maana kama wachunwaji ndo hawa kazi ipo
Hawara hutaki, demu hutaki, haya chagua unataka yepi.Hawara! Demu! Yananiboa hata mimi.