Kama ningekuwa na simu…………………

sweetlady,chuna hiyo jamaa hadi ibaki skin tite! tumedhalilishwa vya kutosha,teh teh
afu mkwe,mbona mwanangu humchuni jamani?

hahahaha! Mkwe mwanao anajichunisha mwenyewe nikianza kumchuna atabaki na boxer tu. Lol.
Wacha aendelee kujichunisha mdogo mdogo.
 
baby ungenifungulia biashara ningekuwa nakusaidi majukumu,....mara natamani ungenipeleka thailand nikafanye shopping yaani ningezidi kukupenda mpenzi. Lol.
Mkwe hivi hawa wanaume wakati wanachunwa akili zao zinakuwa zimerest in peace au?
 
wee ili umdharau halafu mingine hata haijaacha mboga nyumbani hopeless kabisa pheeew
baby ungenifungulia biashara ningekuwa nakusaidi majukumu,....mara natamani ungenipeleka thailand nikafanye shopping yaani ningezidi kukupenda mpenzi. Lol.
Mkwe hivi hawa wanaume wakati wanachunwa akili zao zinakuwa zimerest in peace au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…