Kama ningekuwa Tour Guide wa Lissu hapa Dar

Kama ningekuwa Tour Guide wa Lissu hapa Dar

Hahaha ama kweli kumpiga teke chura ni kumuongezea speed
 
Binafsi nikija dar nitakutafuta uwe guide wangu nimeipenda sana hiyo itinerary yako mzee
 
Mnataka siku hiyo Dar ifungwe na wenye mamlaka?
Dar ina wapiga kura almost million 3, majitu ya NEC bila hata kutumia akili yakampa Lissu fursa ya kuzitafuta hizo kura m3 wakati alipaswa awe sigimbi huko kwenye kura laki 6 au 7
 
CCM wangejua wangeacha kumpa vipingamizi huyu mtu...ukute wazo la kutembea masokoni alilipata jana akiwa amezuiliwa kwa convoy..yaani hizi siku zilizobaki atamaliza Dar yote sehemu muhimu
 
Muwenahuruma kwamwenzenu,mtu anasimamia mguummoja alafu huo mguu mmemvesha kiatu xha kg 5.
bafo mnapanga kumtesa zaidi alhali mnajua kabisa hatushinda!!.
mnataka
Mbona wewe unavaa pampers kuzuia nyaa,mana mzutii umefukuliwa sana
 
Back
Top Bottom