Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Tajiri ambaye hana nongwa hata akitukanwa hajibu. Hahangaiki na mtu. Nimependa sana maisha yako Bilionea.unatusaidia sana
Alishasema wasio na akili hawawezi mwelewa.Mirembe ipanuliwe
Lucas "kujitia vidole" hajaanza leo, ndo michezo yake na akichoka anaita watu "wamtie vidole" aendelee kula!Najaribu kumfikiria aliyekuwa anajitia vidole. Kama siyo Lucas Mwashambwa sijui maana huyu ndo anapenda sana hayo mambo.
Huwezi mkosa Kalpana katika wale wahudumu wazuri.
Gentamicine atakuwa ni yule alipotelea kwenye kabati akakutwa amevimbiwa
Unaendeleaje kwa sasa. Natamani nikawe hata msafisha choo kwa huyu tajiriMkuu, huyu dogo aliyekuwa analia ni mm 😭 ile siku nilijua nmefika peponi kwa baba mana vyakula vyote vilikuwepo 🙌
Basi walikuja pale wakakuta buffet imepangwa urefu wa kiwanja kimoja na nusu cha mpira. Dogo mmoja alipata wazimu. Akaanza kulia akigaa gaa kuwa hajui achukue nini aache nini. Yule dogo alilia sana kuwa maisha yake yote hakuwahi jua kuna vyakula vingi Duniani. Mwenzake alikuwa anaonekana mtu wa Dini sana akasema hapana hapa si Duniani ni Akhera. Nliwakemea wasije wakakufuru.
Mpaka leo nimejificha kwenye makabati ya chakula kwa huyu tajiri, hawawezi kuniona mana kuna sehemu nyng za kujifichaUnaendeleaje kwa sasa. Natamani nikawe hata msafisha choo kwa huyu tajiri
Jamani mtani kuna nini ngoja nisome uzi nimekuja kwanza kwako..Najaribu kumfikiria aliyekuwa anajitia vidole. Kama siyo Lucas Mwashambwa sijui maana huyu ndo anapenda sana hayo mambo.
Huwezi mkosa Kalpana katika wale wahudumu wazuri.
Gentamicine atakuwa ni yule alipotelea kwenye kabati akakutwa amevimbiwa
Bill is backMara nyingi nimekuwa nikipenda waalika Mabalozi na diplomats nyumbani kwangu kwa vyakula either bfast,lunch au dinner. Nliona niwe nafanya hivi ili wasijisikie upweke na pia wawe wanapata lishe nzuri wailetee sifa Tanzania.
Nligundua mabolozi na diplomats wengi pamoja na mawaziri. Hawapati lishe bora na wanakuwa na msongo wa mawazo. So nikaamua kuajiri chefs toka sehemu mbalimbali duniani wale ambao ni the best wawe wanapika msosi.
Jamaa pale napoishi huwa wanauliza kila siku sherehe kwako?nawaambia hapana ni mtindo tu wa maisha. Mimi kipindi nikiwa Marekani kuna kipindi hadi Pdiddy alikuwa anakuja kwangu ana twerk mbele yangu nikawaambia walinzi asije tena akahudhuria home kwangu mi sina tabia za kibasha. Wanasema jamaa alinikubali sana mpaka akawa anatamani mimi sasa ndo nimfanyie huo ushetani.anyway tuachane na hayo. Ni mambo ya aibu sana.
Sasa mwaka jana nikawaalika members kadhaa wa JF waje home wapumzike. Maana nliona tu wana stress za maisha kutokana na maandiko yao humu. Nikawapa wasaidizi wangu mawasiliano wakawatafuta wakaenda wachukua. Kipindi kile nlipoandika hali ya maisha duni ya watu wa Sinza ,Mwenge na Kijitonyama. Wanaishi kwa milo 4 tu kwa siku.
Basi walikuja pale wakakuta buffet imepangwa urefu wa kiwanja kimoja na nusu cha mpira. Dogo mmoja alipata wazimu. Akaanza kulia akigaa gaa kuwa hajui achukue nini aache nini. Yule dogo alilia sana kuwa maisha yake yote hakuwahi jua kuna vyakula vingi Duniani. Mwenzake alikuwa anaonekana mtu wa Dini sana akasema hapana hapa si Duniani ni Akhera. Nliwakemea wasije wakakufuru.
Yule wa dini alibisha akasema haiwezekani akawa yupo Duniani. Kile chakula ni kingi kisafi and delicious kwa kuona tu. Halafu vyakula vingi sana. Maana unapewa kitorori mtu anakisukuma unachagua tu uwekewe nini kwenye torori kama supermarket vile. Yule member mwingine akapandisha mashetani. Anasema yeye hatoondoka pale home. Siku akiondoka tu atakufa.so ameamriwa abaki pale pale.nikaelewa tu tatizo nini.nikamwambia hamna shida.
Sasa ikawa kazi kumwaminisha yule mwingine kuwa pale si akhera, si mbinguni ni duniani tu. Alibisha.akicheck watoto wazuri wa rangi mbalimbali tena bikras wakihudumu. Na wamepimwa kabisa wapo safi wanatabasamu tu. Ukimtizama anakufuata kukuuliza unapenda ufanyiwe nini.
Akitizama huku anaona mabalozi,mawaziri,watu wa diplomats,akina Mo, Bakhressa wamekuja kugongea msosi huku. Dogo anasema hapana haiwezekani ikawa ni duniani hapa.
Sasa issue ikaja member mmoja alishindwa kuchagua msosi anaotaka.akachagua kila kitu. Akawa anakula kumbe akishiba anaenda washroom anajitia vidole anatapika anarudi anaendelea kula. Baadaye akajikuta ameishiwa nguvu. Kaenda washroom amekaa dk 10 wale wasimamizi huwa wana kazi ya kumfuatilia kila mtu kuhakikisha wageni wanakuwa salama. Kuangalia wanakuta kalala chali hoi.
Haraka ndo kuita helkopta imchukue kwa ajili ya first aid na kumpeleka airport akakimbizwa UK. wakamcheck wakasema shida tu alivimbiwa na pia alikwaruzika kidogo kooni sababu ya kujitia vidole ili atapike akale tena.
Nikakumbuka kisa cha member mmoja mmoja ambaye alipotelea kwenye makabati yangu ya chakula.alikuwa anataka snacks nikamwambia ingia kwenye ule mlango. Kule ndani akasema ametokezea Supermarket flani pale Mlimani city. Ilikuwa ngumu kumuaminisha kuwa lile ni kabati la vyakula tena upande wa snacks tu. Masaa 10 anazunguka tu. Walinzi wanamcheck kwenye cctv.
Akaona ujinga akaamua kulala kachooooooooooooka. Ndo nikawaambia wamsaidie kwa upole.
Hizo incidents zimetokea sana kuna aliyepotelea kwenye friji. Cold room. Maana ile ni friji ambayo unaingia ndani kwenda chukua mahitaji square metre 1000 ukubwa wake. Na zipo rooms 10 za aina hiyo kwa bidhaa aina tofauti tofauti.
Nmekutana na cases nyingi za watu kuja home na kugoma kuondoka.kama nsingekuwa na msimamo kuna ambao huwa wananishawishi eti mimi niwe mungu wao na pale home pawe ndo mbinguni kuwa wakitenda mema wanakuja ishi pale. Mimi sitaki chawas nina akili.
Kuna mawaziri na watu mbalimbali wanatafuta chakula kwenye mitandao wanaomba waandiliwe pale kwangu. Natoa maagizo wanaandaliwa. Kuna mabalozi wanapenda maziwa ya nyangumi au mayai ya papa. Huwa wanapata kwa order.
Nikawaza siku moja nialike members kama 1,000 wa JF waliopo Dar waje wakae pale home hata miezi 3 wawe wanapumzika tu na kuenjoy life. Pia itawasaidia kupata experience ya akhera/mbinguni. Wapate kila watakacho pale home.
Nimeanzisha mfuko wa BILL LUGANO FOUNDATION ambao utasaidia watu wenye matatizo mbalimbali. Watawekewa tu utaratibu mzuri wawe wanapata hata posho ya tsh 5,000,000 kwa mwezi kwa ajili ya kujikimu na pia watawekwa kwenye apartments mbalimbali. Maana huwa nasema huu utajiri nimepewa niweze saidia na wengine. Ndo maana mimi nipo very humble huwezi kuta najidai au kuonesha kuwa najiweza. Mpaka usimuliwe na akina Dangote, Bill Gates, Elon Musk, Donald Trump etc. Bila hivyo utanichukulia poa tu.
Anyway. Nimeona hizi siku 7 za mapumziko niweze share nanyi uzoefu wangu mbalimbali maana kwa kweli mtakosa kufaidi madini nliyo nayo wenzenu wanalipia a lot of money kuja nisikiliza tu nikiwa natoa lecture sehemu. Akina Bill Gates akina nani sijui hawafanyi jambo mpaka waniulize mi naonaje.
Sasa huwa inahitaji akili kumgundua mwenye akili. Wale ambao hawana huwa wananiona poa tu sababu sina makuu na nimejishusha sana. Watu wengi hawaamini nawezaje kuwa JF na watu wanaopata salary chini ya usd 10,000 kwa mwezi. Je watakuwa sawa kweli kimawazo? Nawaambia navumilia tu pia najifunza kwa watu wenye kipato cha chini. Ndo maana hata barabarani unakuta sisi wenye Magari tunaendesha na wanaotumia Toyota, Nissan,Subaru, Honda,Suzuki etc na hatulalamiki kuwa waondolewe barabarani.
Naam brother, wishing her quick recovery Amen.Mdogo angu Monetary doctor njoo huku TUNAITWA ☺️😁 na billionaire LUGANO a.k.a KIDUKULILO.
Pia nilikuta notifications nyingi nikashindwa kujibu kwa wakati maana my daughter hakuwa powa ana homa currently yupo powaaaa.
Lucas "kujitia vidole" hajaanza leo, ndo michezo yake na akichoka anaita watu "wamtie vidole" aendelee kula!
😂 Tajiri manoti tajiri Huna bayaa... tajiri moja kwa moja peponi.Naam brother, wishing her quick recovery Amen.
Sasa huyu Tajiri sijaelewa kama anaweza niazima ten mio nikarudisha next year atakuwa akafanya jambo zuri sana
🙆🙆🙆
Nikatafute kazi za kufua me nipate kula 😂😂 Tajiri manoti tajiri Huna bayaa... tajiri moja kwa moja peponi.
Bill Lugano
Tajiri,
mdogo angu kaomba 10elfu atarudisha mwakani..
😁😁😁Mimi kipindi nikiwa Marekani kuna kipindi hadi Pdiddy alikuwa anakuja kwangu ana twerk mbele yangu nikawaambia walinzi asije tena akahudhuria home kwangu mi sina tabia za kibasha. Wanasema jamaa alinikubali sana mpaka akawa anatamani mimi sasa ndo nimfanyie huo ushetani.anyway tuachane na hayo. Ni mambo ya aibu sana.