Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Hapa nipo na bubujikwa kwa MACHOZI ya furahaaa 😁
Hapa nimepiga MBUZI na Ndizi namalizia kinywaji changamshi akili Ikae sawa.
min -me 😄
Hapa nipo na bubujikwa kwa MACHOZI ya furahaaa 😁
Achana na hizo Kuna certificate of incorporation iombee itoke uwe CEO.Nikatafute kazi za kufua me nipate kula 😂
Naaam naweza kuja PM mkuu,Achana na hizo Kuna certificate of incorporation iombee itoke uwe CEO.
KUBALI KUANZIA CHINI ILA ALL ESSENTIAL NTAKUFUNDISHA.
KIKUBWA UWE NA INTEGRITY KUBWA
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mara nyingi nimekuwa nikipenda waalika Mabalozi na diplomats nyumbani kwangu kwa vyakula either bfast,lunch au dinner. Nliona niwe nafanya hivi ili wasijisikie upweke na pia wawe wanapata lishe nzuri wailetee sifa Tanzania.
Nligundua mabolozi na diplomats wengi pamoja na mawaziri. Hawapati lishe bora na wanakuwa na msongo wa mawazo. So nikaamua kuajiri chefs toka sehemu mbalimbali duniani wale ambao ni the best wawe wanapika msosi.
Jamaa pale napoishi huwa wanauliza kila siku sherehe kwako?nawaambia hapana ni mtindo tu wa maisha. Mimi kipindi nikiwa Marekani kuna kipindi hadi Pdiddy alikuwa anakuja kwangu ana twerk mbele yangu nikawaambia walinzi asije tena akahudhuria home kwangu mi sina tabia za kibasha. Wanasema jamaa alinikubali sana mpaka akawa anatamani mimi sasa ndo nimfanyie huo ushetani.anyway tuachane na hayo. Ni mambo ya aibu sana.
Sasa mwaka jana nikawaalika members kadhaa wa JF waje home wapumzike. Maana nliona tu wana stress za maisha kutokana na maandiko yao humu. Nikawapa wasaidizi wangu mawasiliano wakawatafuta wakaenda wachukua. Kipindi kile nlipoandika hali ya maisha duni ya watu wa Sinza ,Mwenge na Kijitonyama. Wanaishi kwa milo 4 tu kwa siku.
Basi walikuja pale wakakuta buffet imepangwa urefu wa kiwanja kimoja na nusu cha mpira. Dogo mmoja alipata wazimu. Akaanza kulia akigaa gaa kuwa hajui achukue nini aache nini. Yule dogo alilia sana kuwa maisha yake yote hakuwahi jua kuna vyakula vingi Duniani. Mwenzake alikuwa anaonekana mtu wa Dini sana akasema hapana hapa si Duniani ni Akhera. Nliwakemea wasije wakakufuru.
Yule wa dini alibisha akasema haiwezekani akawa yupo Duniani. Kile chakula ni kingi kisafi and delicious kwa kuona tu. Halafu vyakula vingi sana. Maana unapewa kitorori mtu anakisukuma unachagua tu uwekewe nini kwenye torori kama supermarket vile. Yule member mwingine akapandisha mashetani. Anasema yeye hatoondoka pale home. Siku akiondoka tu atakufa.so ameamriwa abaki pale pale.nikaelewa tu tatizo nini.nikamwambia hamna shida.
Sasa ikawa kazi kumwaminisha yule mwingine kuwa pale si akhera, si mbinguni ni duniani tu. Alibisha.akicheck watoto wazuri wa rangi mbalimbali tena bikras wakihudumu. Na wamepimwa kabisa wapo safi wanatabasamu tu. Ukimtizama anakufuata kukuuliza unapenda ufanyiwe nini.
Akitizama huku anaona mabalozi,mawaziri,watu wa diplomats,akina Mo, Bakhressa wamekuja kugongea msosi huku. Dogo anasema hapana haiwezekani ikawa ni duniani hapa.
Sasa issue ikaja member mmoja alishindwa kuchagua msosi anaotaka.akachagua kila kitu. Akawa anakula kumbe akishiba anaenda washroom anajitia vidole anatapika anarudi anaendelea kula. Baadaye akajikuta ameishiwa nguvu. Kaenda washroom amekaa dk 10 wale wasimamizi huwa wana kazi ya kumfuatilia kila mtu kuhakikisha wageni wanakuwa salama. Kuangalia wanakuta kalala chali hoi.
Haraka ndo kuita helkopta imchukue kwa ajili ya first aid na kumpeleka airport akakimbizwa UK. wakamcheck wakasema shida tu alivimbiwa na pia alikwaruzika kidogo kooni sababu ya kujitia vidole ili atapike akale tena.
Nikakumbuka kisa cha member mmoja mmoja ambaye alipotelea kwenye makabati yangu ya chakula.alikuwa anataka snacks nikamwambia ingia kwenye ule mlango. Kule ndani akasema ametokezea Supermarket flani pale Mlimani city. Ilikuwa ngumu kumuaminisha kuwa lile ni kabati la vyakula tena upande wa snacks tu. Masaa 10 anazunguka tu. Walinzi wanamcheck kwenye cctv.
Akaona ujinga akaamua kulala kachooooooooooooka. Ndo nikawaambia wamsaidie kwa upole.
Hizo incidents zimetokea sana kuna aliyepotelea kwenye friji. Cold room. Maana ile ni friji ambayo unaingia ndani kwenda chukua mahitaji square metre 1000 ukubwa wake. Na zipo rooms 10 za aina hiyo kwa bidhaa aina tofauti tofauti.
Nmekutana na cases nyingi za watu kuja home na kugoma kuondoka.kama nsingekuwa na msimamo kuna ambao huwa wananishawishi eti mimi niwe mungu wao na pale home pawe ndo mbinguni kuwa wakitenda mema wanakuja ishi pale. Mimi sitaki chawas nina akili.
Kuna mawaziri na watu mbalimbali wanatafuta chakula kwenye mitandao wanaomba waandiliwe pale kwangu. Natoa maagizo wanaandaliwa. Kuna mabalozi wanapenda maziwa ya nyangumi au mayai ya papa. Huwa wanapata kwa order.
Nikawaza siku moja nialike members kama 1,000 wa JF waliopo Dar waje wakae pale home hata miezi 3 wawe wanapumzika tu na kuenjoy life. Pia itawasaidia kupata experience ya akhera/mbinguni. Wapate kila watakacho pale home.
Nimeanzisha mfuko wa BILL LUGANO FOUNDATION ambao utasaidia watu wenye matatizo mbalimbali. Watawekewa tu utaratibu mzuri wawe wanapata hata posho ya tsh 5,000,000 kwa mwezi kwa ajili ya kujikimu na pia watawekwa kwenye apartments mbalimbali. Maana huwa nasema huu utajiri nimepewa niweze saidia na wengine. Ndo maana mimi nipo very humble huwezi kuta najidai au kuonesha kuwa najiweza. Mpaka usimuliwe na akina Dangote, Bill Gates, Elon Musk, Donald Trump etc. Bila hivyo utanichukulia poa tu.
Anyway. Nimeona hizi siku 7 za mapumziko niweze share nanyi uzoefu wangu mbalimbali maana kwa kweli mtakosa kufaidi madini nliyo nayo wenzenu wanalipia a lot of money kuja nisikiliza tu nikiwa natoa lecture sehemu. Akina Bill Gates akina nani sijui hawafanyi jambo mpaka waniulize mi naonaje.
Sasa huwa inahitaji akili kumgundua mwenye akili. Wale ambao hawana huwa wananiona poa tu sababu sina makuu na nimejishusha sana. Watu wengi hawaamini nawezaje kuwa JF na watu wanaopata salary chini ya usd 10,000 kwa mwezi. Je watakuwa sawa kweli kimawazo? Nawaambia navumilia tu pia najifunza kwa watu wenye kipato cha chini. Ndo maana hata barabarani unakuta sisi wenye Magari tunaendesha na wanaotumia Toyota, Nissan,Subaru, Honda,Suzuki etc na hatulalamiki kuwa waondolewe barabarani.
Furahia kaka, Mimi Vinywaji changamshi hapana aisee.Hapa nipo na bubujikwa kwa MACHOZI ya furahaaa 😁
Hapa nimepiga MBUZI na Ndizi namalizia kinywaji changamshi akili Ikae sawa.
min -me 😄
Tuonane AIDNaaam naweza kuja PM mkuu,
Amen Mungu afanye wepesii kwenye hili,
Nipo tayari kujifunza, kufanya kazi kwa bidii, Mungu nisaidie.
Nipe sababu Tano..Furahia kaka, Mimi Vinywaji changamshi hapana aisee.
Ushachafua uziMimi kipindi nikiwa Marekani kuna kipindi hadi Pdiddy alikuwa anakuja kwangu ana twerk mbele yangu
Nili taka kuku tag umuone the don himsel for,Haya sasa wale mashabiki wote waliokuwa wanasema wamemmiss tajiri Bill Lugano huyo kajaa sasa.
Mmefurahiiii? 🤣🤣🤣🤣🤣
Moja tu Ina tosha kusema hapana, sababu nyingi Zina onyesha msimamo ni dhaifu.Nipe sababu Tano..
Muktadha mkuu, muktadha.Nili taka kuku tag umuone the don himsel for,
Nika hofia una weza pop ka volcano eruption.
sahihi kabisa,Muktadha mkuu, muktadha.
Kama hujui zile aya zinazosema kuna wakati wa kila kitu unaweza kuteseka sana na waja ambao wao wako hapa kufurahisha umma kwa mizaha tu.
Hajatosheka Kendrick alivyo pop up tu?sahihi kabisa,
NIko namsikiliza joey bad, anavyo washughulikia kina Kendrick Lamar na crew yake.
Doctor sijakupata vzrTuonane AID
🤣🤣🤣🤣🤣Za ndani ni kwamba messi ali wahi kuji fanya papa, ili ahudhurie birthday party ya don Bill Lugano,
View attachment 3340754