Kama nitakiwa nakosea mtanisamee ila sijui lolote kuhusu majengo ya ghorofa

Kama nitakiwa nakosea mtanisamee ila sijui lolote kuhusu majengo ya ghorofa

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
Jengo lililojengwa na linazaidi ya miaka 18, kwenye ardhi kama sikosei.

Jengo llijegwa kwa ajili ya ofisi tu au kupangisha sijajua maana watu wa kawaida kuishi.

Lakini leo linafanyiwa mabadiliko na kuwekwa frame za biashara jengo la ghorofa kwanzia chini na floor ya kwanza na kina junction zinaongezwa sasa sijajua kama kutakuwa na uzito mkubwa je jengo hili litaishi kwa muda mrefu bila madhara ukiongeza movement mpya ambazo hazikuwepo.

Nakiri sijui chochote ila mficha uchi hazai so ninataka ufafanuzi.

Jengo liko mwanza
 
Back
Top Bottom