Kama nyuma mwiko na singida zote zingepigwa tungepoteza mtu baraza la mawaziri nusura nyuma mwiko kupata sare!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Muda huu kungekuwa na msiba mzito kwenye baraza la mawaziri kama nyuma mwiko angefungwa,
Naona wanajeshi bado wana mishahara yao wamegomea bahasha na kocha wala hana shobo na nyuma mwiko.....aibu kwa refa aliyepokea bahasha amejitahidi kuongeza dk zake lakini la kuvunda halina ubani refa apewe ulinzi muda wowote atatekwa kwenda kudaiwa pesa!...bado draw nyingine kabati likamilike!
Wazoea vya kunyonga goli nyingi nyingi kwa timu zenye njaa na makocha waliocheza yanga!
 

Heshima Yako Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…