njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union.
Hizo nafasi tatu za wazi(Mzungu, Okwa, Akpan) lete Manzoki, lete namba 6 la uhakika kama Semanga Soze, lete beki linalopiga miguu yote linaloweza kucheza namba 2 na namba 3.
Mkifanikisha hayo kaeni kwa kurelaxxx kabisa hata msimu ujao msipofanya usajili ni sawa tu, labda mtachukua mchezaji wa ndani mmoja na kupandisha wa under 20.